At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,568
- 3,644
Of course ndio hivyo.hii mada nzima ni useless alishasema hataongeza hata dakika moja ofisini sasa nashangaa mnarudia rudia the same
Ukiwa ndebile, kila kitu kinakuwa hakijatimia.Katiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo......Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Akili ya ng'ombe hii Mr Ndebile . Masilahi mapana !!!Katiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo......Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Sio makOndoo sema maPUMBAVU... vinginevyo uniambie jiwe amefanya lipi la maana mpaka kutangazwa kashinda uchaguzi uliopitaHamna kituu, hii nchi imejaa makondoo wataishia kupinga kwenye mitandao.
Kabisa mkuuHamna kituu, hii nchi imejaa makondoo wataishia kupinga kwenye mitandao.
Of course ndio hivyo.
Tukikaa kimya wakati washaanza kujadili bungeni inawezapelekea na yeye akabadili mtazamo.
People change.
Ndio itakuwa hivyo.hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm
Kuna watu walitabairi kuongezwa muda.. wanaweza kuwa watabiri wazuri. Ila mwenyewe alikataa hilo
Ndio itakuwa hivyo.
Ila akipata washauri wabaya ambao wanatanguliza tumbo lao. Inawezekana na tukiendelea kukaa kimya pindi hoja hizi zinaibuliwa anaweza dhani hakuna shida.
Na kuamua kuchagua kukubaliana na kina Deo.
hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm
possibilities are very low, hata mm itakua mwisho wangu kua upande wa ccm! ni heri hata chama kipya kianzishwe
Hii mada nzima ni useless alishasema hataongeza hata dakika moja ofisini, sasa nashangaa mnarudia rudia the same.
Ccm sio wamoja, kinachowaunganisha ni maslahi ya matumbo yao. Kama anaweza kupata kura 100% bila hata kura moja kumpinga au kuharibika watafanya nini? Ingekuwa wanaccm ni wasafi wangeweza kuwa na msimamo, ila karibia wote ni wachafu, na wale wasafi wanamuogopa vibaya sana.
Kwani msahafu ndio hauwezi kubadilika? Acha ujingaKatiba sio msahafu, tunaweza kubadilisha kwa maslahi mapana ya vizazi vya sasa na vijavyo. Watu wazima wenye upeo mpana wa kufikiri tunaona jinsi kile kikundi cha walafi, wezi na wafujaji wa raslimali za taifa wakisaidiwa na mabeberu kinavyojipanga kurudi baada ya Uongozi wa JPM kupita! Tumejipanga kuwaumiza, tunamuongezea rais mihula mingine! Sisi sio wa kwanza kufanya hivyo duniani.
Mpasuko gani huo ?, kwa CCM ilivyo sasa ni ndoto za mchana.hawezi kuongeza mda, kutatokea mpasuko mkubwa sana na ndo utakua mwisho wa ccm
Kama anaweza kuchezea chaguzi za nchi nzima na wanaccm mko kimya, akiongeza mtamfanya nini? Kimsingi hahitaji kura hata moja kukaa madarakani, anahitaji jeshi tu linalotii anacholiagiza.
Mpasuko gani huo ?, kwa CCM ilivyo sasa ni ndoto za mchana.
Ni sisi kujipanga na tuanze mapema kutaka mabadiliko ya katiba. Tusisubiri imebaki miezi 6 kufika uchaguzi ndio tunaongeza jitihada ya kutaka mabadiliko.
Uzoefu unaonyesha mfumo huwa haubadiliswi haraka, hata Marekani wameshindwa kuibadili walichoweza ni kubadili será ndogo ndogo kutoka será kuu za Republican na kuwa za Democrats. Deep state ni ile ile . Kwa hiyo Chadema kubadilisha mfumo sio kitu rahisi hivyo.nyie hamuelewi kitu kimoja, ukitoa kwamba kuna watu wapo ccm na kuna wengine wapo chadema kiujumla wote ni binadam wakiwa katika mavazi tafauti, cha muhimu sio atolewe ccm wala apewe chadem, cha muhimu ni mfumo! ccm wao kwa upigaji ishakua ilani, chadema ndo hatuna uhakika kama wanaweza jenga mfumo ilihali inashikiliwa na mtu mmoja mwaka wa 20 sasa, huyu ndo tutapata mfumo mzuri kwake? ccm wanabadilisha kila miaka 10