Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao


we ulishawahi ona wap nafasi ya waziri mkuu inatangazwa kwenye kampeni? hujashinda ata ubunge 😂 😂 😂 😂 , zaidi alikua anataka kutumia nguvu alionayo pale ufipa kuchukua hio nafasi na sio siri
 
Sio Mbowe, huo ndio ukweli.

sio makosa yako, nadhan ntaanzisha chama changu nachukua mavichaa wote wagombania nafasi ya uraisi mweshimiwa tindo amesema anyone can take that position
 
Watanzania hawapendi mtu kuongezewa muda lakini mkwara ukipigwa hutamuona hata mmoja akiandamana. Na watawala walishajua Watanzania ni waoga hivyo wanafanya chochote wanachokitaka. Reference uchaguzi mkuu 2020.
Ni kweli hata Rais akiongeza miaka kienyeji hakuna wa kumpiga live watapinga majumbani kimya kimya tu lakini kuandamana hawataweza
 
Ulijaza Fomu yako ya kujiunga na mfuko wako wa pensheni huku ukijua kwamba unaweka akiba yako ya uzeeni...iweje sasa unataka kufumua kibubu chako kabla ya miaka 55?
Alijaza kwa hiari au ni lazima
 
kuna nyumbu za kijani lazima zitashangilia hata kama jiwe akiongezewa miaka 10 mbele,, nchi hii ujinga uko damuni,
CCM wapo tayari mtukufu awe Rais wa milele kama China hata akitangaza kujiongezea mika 49 kienyeji bila idhini ya bunge CCM watakubali bila kupinga
 
sio makosa yako, nadhan ntaanzisha chama changu nachukua mavichaa wote wagombania nafasi ya uraisi mweshimiwa tindo amesema anyone can take that position

Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani atashindwa? Tena kwa katiba hii ambayo rais anaweza kuifuata na kuitekeleza apendavyo, na hakuna taasisi yoyote inayoweza kumfanya lolote?
 
Magu ataaibika na kutolewa kabla hata ya 2022.
Fafanua vizuri, Moshi wa Ruangwa unakuja tena? ama corona itabisha hodi chato, chamwino na kote anakokatiza? au Rais Baiden ana mipango yake kama ile ya kujipanga kumrejesha museven kijijini baadae aoezee jela kwa kesi nyingi , tufafanulie vizuri
 
Mkuu labda vizazi vitano kutoka sasa yaani kizazi cha watakozaliwa kuanzia 2050.
 
Mkuu labda vizazi vitano kutoka sasa yaani kizazi cha watakozaliwa kuanzia 2050.
Watanzania wa sasa kuandamana hawawezi hata Polisiccm iamue kuua vijiji 40 hawataweza kuandamana ni waoga mno, wao ni mabingwa wa kupinga mitandaoni tu
 
CCM walishajua udhaifu wa watanzania ndiyo maana huwafanyia chochote watakacho wanajua hawana cha kuwafanya, hata uchaguzi mkuu wameulawiti kuubaka kuunajisi hakuna aliyethubutu kuandamana, hata wakibadili katiba Rais awe wa milele na milele hakuna wa kuthubutu kuandamana hata mmoja
 
Kwa hiyo unataka akae kama Kagame na Museveni ndiy ufurahi, kwani Kikwete hakuna utamu wa madaraka au Mzee Mkapa akawaachia wengine
 
Kazi ambayo JK na Magufuli wameweza nani atashindwa? Tena kwa katiba hii ambayo rais anaweza kuifuata na kuitekeleza apendavyo, na hakuna taasisi yoyote inayoweza kumfanya lolote?

ndo maaana hata mm mawazo yangu sku zote sio ccm wala chadema washike nchi, bali wananchi wajenge mifumo ya nchi, ccm ni binadamu tu alie kwenye vazi la kijani, chadema the same vazi la khaki wote ni binadam wmejificha tu kwenye mavazi
 
Eti alianza mkali,anakuja mpole,, faida yake nini Rais akibadilika.nikubadilisha ulaji.Tunataka Rais akilia madarakani mpaka azeeke. Vibaraka wa mabeberu wanasubiria JPM aondoke, ili waharibu miradi yetu.na kutorosha madini,na wanyamapori
 
Wewe hata hao wanyama uliopost hapo wanakuzidi akili
 
Acha tu waongeze muda, ili wajipambanue wanakotaka kutupeleka. Isitoshe wataiweka wazi zaidi CCM machoni mwa watanzania na mataifa, kwani ile CCM ya kinafiki itapotea na kuja CCM halisi.

Kiukweli hapo ndipo patakuwa mwanzo wa safari ya demokrasia ya kweli, kwani hata mataifa yatawaunga mkono wanaopambana kudai demokrasia ya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…