Kitendo cha kuongeza muda ndicho kitakachowaunganisha Watanzania kupinga bila kujali itikadi zao

Huelewi maana ya demokrasia, vyama vingi, ilani, rais, wabunge, serkali. Chama kikishashinda maana yake ilani imependwa, kikishindwa hivyo hivyo. Iweje (jiulize) Lowassa alitupa wapambanaji kama 62 akiwemo sugu na lema na mbowe na halima na estaulaya na msigwa, kaingia tundulissu kawapoteza wote? Kama ni kura bungeni watajaosema NDIYO watakuwa 399 atakayesema SIYO atakuwa 1+19 = 20. Kama wamemtoa Zitto, na Bwege , watashindwaje kubadili katiba?

Ni nani aliyekwambia kwamba Watanzania wanataka ukomo? Lini?
 
Ni nani aliyekwambia kwamba Watanzania wanataka ukomo? Lini?
Niliambiwa na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1984 kwamba rais atatumikia si zaidi ya vipindi 2 vya miaka mitano mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…