Kitendo cha kutaka kuhamisha familia 400 zinazozunguka eneo la kimondo cha Ndolezi Mbozi bila fidia ni cha kishenzi

Less creative

Kijiji kingeachwa na kuboreshwa ili watalii wakija wapige story na Mashuhuda jinsi kimondo kilivyo piga hiyo siku....mijitu inawaza kupiga
-Hakuna mtu yeyote aliweza ona kimondo cha mbozi kikidondoka. ilikuwa mwaka 1930 ambapo mzee halele aliyekuwa mhunzi wa chuma eneo hilo ndiye mgunduzi wa jiwe hilo.

-Niliwai tembelea eneo la kimondo na nilimuuliza msimamizi wa hicho kimondo sababu za kuto kujua umri wa kimondo hicho toka kimekuwepo ardhini pale. alisema wakati tu kimondo kimegunduliwa kwa wakati huo, udongo wote wa pembeni uliokuwa unazunguka kimondo hicho uliondolewa kimakosa pasipo kujua faida ya udongo katika kupima umri wa kimondo kuwepo pale ardhini sababu ule udongo uliogusana na kimondo unakuwa na layers mbalimbali ambazo zingetumika kutambua umri wa kimondo hicho tangu kimekuwepo pale.

-Mfano ni kimondo cha Hoba kilichopo Namibia kiligunduliwa miaka nyuma kadhaa kabla ya kimondo cha mbozi, ilikuwa mwaka 1920's lakini wameweza kujua umri wa kimondo cha Hoba uwepo wake pale ardhini, ni umri wa miaka 8,0000 iliyopita, hii inatokana na kuto kualibiwa kwa scene ya kimondo hicho.
 
Tatizo ni thamani ya hicho kimondo, material yake ni muhimu
Hakina thamani yo yote zaidi ya kuwa ni chuma ambacho kimedobdoka kutoka anga za mbali! Hivyo watu wanakishangaa kama ambavyo watu wanakwenda kushangaa tembo mbugani.
 
Wazungu walishapa pima hapo chini kuna mali ya kufa mtu iyo ardhi yote ni mali Tupu wakatafuta jiwe la ajabu ili wawatishe eti ni kimomdooo fck kabisa hawa white pple sasa wanataka kurudi kuchimba mali zao huku nyiny mamonky imkiamini hicho ni kimondo na elimi yenu ya mchongo..........
 
Mwehu wewe!🤓😁😂
 
Miaka mingapi hiyo iliyopita mkuu

Sent using Jamii Forums mobile
Hiyo ilikuwa miaka ya 96 ili mda unavyozidi kuenda maajabu yake yanapotea,

Nadhani ni kutokana na watu kujenga makazi karibu nacho, pamoja na kukata miti iliyokuwa inakizunguka,

Kulikuwa na makafara makubwa sana yalikuwa yanafanyika pale kipindi hicho
 
Aisee hivi watu kama nyie mpoo?
 
Unadhani??
Nadhani ni hadithi tu za kunogesha Baraza kwa sababu hicho kimondo ni jiwe chuma. Yaani kina madini mengi ya iron (Fe) ambayo hayang'ai na kwa kuwa kiko wazi na kinapigwa mvua na jua kina rangi ya kutu nyeusi au dark brown.
 
Project za CCM ndio maana hazinaga matunda sababu zinafanyika kwa roho mbaya na ukatili mkubwa. Pesa za machozi ya watu huwa hazinaga matokeo mazuri.
 
Wananchi wasikubali huo ujinga
 
Watanganyika tujipange sana kuhusu uyo kizimkazi hana nia njema nasi.
Yy akistaff teke zenji.kazi kwetu!!


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…