Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Kitu gani kinawazuia kuifuata?Unachanganya human rights law though still part of justice but has to do with morality and inalienable rights ‘what society believe to be right and wrong’
Whereas corrective justice is to do with distribution of ‘even-handedness’.
Isitoshe kama unadai maraisi wa awali walikuwa awaamini kwenye ‘capital punishment’ kitu gani kiliwazuia kuifuta?
Provided sheria ipo na mahakama inaitumia maana yake Tanzania ni nchi inayonyonga bado kwa baadhi ya makosa.
Mbona nimejibu kwamba Tanzania is party to international human rights treaties na ndiyo kimezuia baadhi ya marais kusaini.
Yes sheria is there na inaelekeza death penalty yaweza hukumiwa which is done lakini kwenye kutekelezwa ndiyo haitekelezwi.