Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Sasa wanyonge kisirisiri kwa faida ya nani? Maana adhabu hizo za kunyongwa hadi kufa ni fundisho kwa waliyo hai sasa kama wanajiibia na kunyongana kimyakimya ndio inaleta maana gani?Tatizo nyie mnawasikiliza sana wanasiasa..ulizeni askari walioko pale Gereza la Isanga Dodoma kama unapita mwezi bila watu kula kitanzi.sio Jiwe,kikwete wala watangulizi wao ambao hawajanyonga watu...huku kwenye makamera wanawaongopea tu..
Na wakinyongwa ndugu wa marehemu pia hawajui?