Sasa wanyonge kisirisiri kwa faida ya nani? Maana adhabu hizo za kunyongwa hadi kufa ni fundisho kwa waliyo hai sasa kama wanajiibia na kunyongana kimyakimya ndio inaleta maana gani?Tatizo nyie mnawasikiliza sana wanasiasa..ulizeni askari walioko pale Gereza la Isanga Dodoma kama unapita mwezi bila watu kula kitanzi.sio Jiwe,kikwete wala watangulizi wao ambao hawajanyonga watu...huku kwenye makamera wanawaongopea tu..
Tulia usiwe mkali mkuu....elezea taratibu tu...wala haina haja ya kubishana.Wewe jamaa mimi siandiki conspiracy. Hizo ishu zinafundishwa madarasani.
Wapi hujaelewa?
Mbona sijakataa kwamba watu hawahukumiwi? Nilichosema ambacho ndicho hali halisi ni kwamba utekelezaji hua haufanywi badala yake aliyehukumiwa hukaa for life.
Kitu rahisi kama hicho unataka kukianzishia ubishi?
Marekani hawatekelezi hiyo adhabu. Kuna majimbo yanatekeleza na mengine hayatekelezi.
Sadam Hussein kesi yake iliendeshwa Marekani ila adhabu ikatolewa ikatekelezwe Iraq. Kwanini? Kwasababu Marekani akiwa kama advocate wa Human Rights ingemuwekea picha mbaya kuitekeleza ile adhabu kwenye ardhi yake.
Sasa ndio umeeleza nini hapo? Ni vijembe au nini sasa? Humu kuna shida sana.Huyo hashauriki wew Kibwetele alisha sema yeye ni kichaa. Muulize kilicho mpata babu yenu Mingula.Hivi upelelezi wa ile sumu umefika wapi?
Wa kutakiwa kunyonga ni watu km wewe, una uhakika JPM alitoa hiyo amri? kuongoza nchi ni kazi sana ndio maana unapata chance ya kukaa kwenye key board na kuandika unayofikiria ni sahihi. Huyo aliekoswa Lissu unamtaja hajui siasa km anajua basi anatumwa na akawaoyeshe waliomtuma. haiwezekani kila siku alikuwa anamtukana Rais aliyepigiwa mizinga 21 na majeshi. Mara hajui English, mara PhD mara hili mara vile. mkuu Urais ni Taasisi anayotakiwa kuheshimiwa. Hatuwezi kuwa na Rais ambaye anatukanwa kila dakika mtandaoni. Kwa Rais alikuwa amemfanyia nini Tundu kwa sababu tangu anaapishwa TUNDU yeye alikuwa anatukana tu.Nilisoma kwenye gazeti kwamba mkuu wetu hawezi kuuwa mtu hata waliohukumiwa kunyongwa. Tujue mpaka mtu ahukumiwe kunyogwa ni kwamba aliuwa binadamu mwingine au wengine. Kama ni kwa sababu ya dini basi upendo huo na katazo hilo basi lisingeishia kwenye wafugwa.
Kitendo cha Lissu kupigwa risasi na wanasema kwa maamuzi ya hao hao wanasema eti hawawezi kuwauwa wauaji! ni unafiki na kutafuta kupendwa kinafiki. Lakini ni unafiki hata kwa Mungu na Watanzania wanajua hilo. Wakati wa Mwinyi kuna wafugwa walinyogwa haina maana Mwinyi alikuwa hana upendo lakini alifuata maagizo ya mahakama na kuwatendea haki washitaki kama nafasi yake inavyo ruhusu. Lakini Mwinyi mzee mwenye upendo hajawahi kumpiga mwanasiasa, kuweka jela wala kutoa maagizo ya kumpiga mtu risasi kwasababu ni mashuhuri kuliko yeye!
Hivyo tusidanganyane vijana wanaita hizi ni kiki. Msishangae wanataka kubadilisha historia kwasababu tu ya upinzani na watu wamepedwa kuliko wao yaani ukipnda upinzani wanataka watoto wajue si uzalendo! kwasababu tu wana mawazo tofauti. Hao mabeberu tunaowaita mawazo tofauti ndiyo yamefanya watoto wao wawe wabunifu. Tutakuwa na vizazi ambayo havina ubunifu kama tutaanza kufundisha uongo ili tu wachache wakae madarakani.
Haki za binadamu zina generation. Kuna generation ya 1, 2 na 3. Kuna generation imekava maswala ya uchumi, nyingine imekava haki za watoto na wanawake na nyingine imekava humanity.Tulia usiwe mkali mkuu....elezea taratibu tu...wala haina haja ya kubishana.
Mimi sijakuelewa kwanini umesema hii nchi tangu isaini mikataba ya Human Rights watu wamekuwa hawanyongwi wanakaa humo maisha tu..sijaelewa mahusiano hapo kati ya kutokunyongwa na hiyo mikataba nieleweshe.
Nimekuelewa vizuri mkuu! Lakini hizi sheria zinazo ruhusu death penalty bado zipo kwenye documents zetu...kama vile Katiba 1977 na Penal Code (Cap 16),kitu ambacho kiliniaminisha kwamba kutokunyonga watu kwa rais husika ni uamuzi wake tu,kwani sheria haimlazimishi kuweka sahihi,lakini kama sivyo maswali fikirishi ni;Haki za binadamu zina generation. Kuna generation ya 1, 2 na 3. Kuna generation imekava maswala ya uchumi, nyingine imekava haki za watoto na wanawake na nyingine imekava humanity.
Generation ya kwanza kabisa ilikua baada ya Hitler ambayo kwa matukio ya Hitler haki iliyotiliwa mkazo ni 'Right to life'
Kisha zikaja international treaties ambazo nchi ikisaini inakua committed na kuhakikisha hizo haki zote wananchi wake wanakua guaranteed nazo. Hii ndiyo ile mikataba ambayo ili upate mikopo na udhamini inabidi uisaini na uonyeshe kua kweli unatekeleza.
Tunajua enzi za Mwinyi ndiyo Tz tulitekeleza SAP na ndiyo kipindi tukaingia hii mikataba ya kimataifa.
Baada ya pale ndiyo mahakama itatoa hukumu ya kwamba Castr umehukumiwa kunyongwa mpaka kufa lakini ili adhabu itekelezwe inabidi Kikwete asaini.
Kikwete akisaini nikanyongwa maana yake dola itakua imeninyima 'Right to life' na huku ni memba wa hiyo mikataba hivyo basi atajivunjia uhalali wa mikopo na huo udhamini.
Sheria zipo.Nimekuelewa vizuri mkuu! Lakini hizi sheria zinazo ruhusu death penalty bado zipo kwenye documents zetu...kama vile Katiba 1977 na Penal Code (Cap 16),kitu ambacho kiliniaminisha kwamba kutokunyonga watu kwa rais husika ni uamuzi wake tu,kwani sheria haimlazimishi kuweka sahihi,lakini kama sivyo maswali fikirishi ni;
je uwepo wa hizo sheria kwenye documents zetu hauathiri hiyo misaada/vikwazo kutoka kwa mabeberu? kwani uwepo wake huko inamaanisha tunakubaliana Nazo.
Kama vina athari,je mabeberu hawajui kama vipo kwenye documents zetu?
Kama havina athari ina maana Mabeberu hivyo kuna vitu tumeingia mikataba ya kisheria bila wananchi kujua? na hizo sheria tulizonazo kwenye document ni mapambo tu?...
Au labda hizo sheria zipo kwenye document kwa baraka za mabeberu na zinatumika kutishia watu tu? kwamba utanyongwa lakini kumbe unafungwa maisha tu?
Msaada kidogo mkuu...nimechanganyikiwa hapa
huu unafiki wa wabongo ndio unawagharimu mara nyingi sana.Mi naona wote humu ni wanafiki tu na mnaendeshwa na siasa.
Embu imagine badala ya kusema kuwa hao 250 kawa ondolea adhabu ya kunyongwa, angesema kuwa kawa nyonga.
Embu imagine kelele ungezipiga humu ndani. Kuwa ni katili, hana utu, hana huruma, na kadharika.
Acheni unafiki. Humpendi sema Humpendi na siyo kutafuta visingizio vya ajabu ajabu.
Rais gani wa nchi hii aliyewahi kutekeleza hukumu za kunyonga kwa asilimia 100? Vinginevyo sio lazima kucomment kila kitu. Mengine unakaa kimya. Ujuaji unagharama sanaMungu anasema kwenye maandiko anayeua auawe, yeye anajifanya ana huruma zaidi kwa wanaotenda makosa yanayostahili kufa kuliko maandiko matakatifu.
Acha kuitukanisha Serikali.Mbowe alimuua Chacha Wangwe, akamuua Mtikila, akamtimua Zitto Kabwe akafanya jaribio la kumuua Lissu