Kama mpaka sasa hujajua uwezo wa Yanga nikupe poleUZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Hata kama ni ushbiki, bado tuu unaibeza yanga? Kwani kutoka robo fainali ninini brother? Be kind and appreciate hata kidogoUZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Kwani Bingwa wa shirikisho hakumfunga Bingwa wa champions league ?UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Hao ni mbumbumbu wanajiandikia tuu kama fbKwani Bingwa wa shirikisho hakumfunga Bingwa wa champions league ?
Mbona kocha wa shirikisho mulimchukua awasaidie ?
Dalili za mru ambae yuko ktk taharuki au kiwewe.Ahly hawawezi kuja kucheza hapa hata Mechi ya kirafiki. Mamelody wasingeweza kuja hapa hata kwenye tamasha la Wananchi maana wamejaribu mwaka jana lakini ilishindikana...
Mura,vita ni vita ,,utashangaa siku ikiwadia.UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Hata kama ni ushbiki, bado tuu unaibeza yanga? Kwani kutoka robo fainali ninini brother? Be kind and appreciate hata kidogo
Sawa,je wewe Kolo umewahi kuvuka robo fainali?UZURI YANGA TULIWAMBIA HUKU SI SHIRIKISHO
Ukiingia 10 bora unapewa medali?Utopolo watoe hapo...! Bado hawana Ukubwa, mpaka pale Watakapoingia Kumi bora Afrika...!
Ukiingia 10 bora unapewa medali?