Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Ahly hawawezi kuja kucheza hapa hata Mechi ya kirafiki. Mamelody wasingeweza kuja hapa hata kwenye tamasha la Wananchi maana wamejaribu mwaka jana lakini ilishindikana.
Lakini uwezo wa Simba na Yanga kuingia Robo fainali umeaalazimisha kuja Tanzania na tutawaona tena. Siwezi kuacha kusifu timu zetu Kwa sababu ya ukubwa wa Ahly na Mamelody.
Let them come, na waje tu iwe usiku au machana.