Kitendo cha kuzileta nchini Ahly na Sundowns katika hatua ya robo fainali kinathibitisha ukubwa wa Simba na Yanga Afrika Mashariki

Kitendo cha kuzileta nchini Ahly na Sundowns katika hatua ya robo fainali kinathibitisha ukubwa wa Simba na Yanga Afrika Mashariki

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Ahly hawawezi kuja kucheza hapa hata Mechi ya kirafiki. Mamelody wasingeweza kuja hapa hata kwenye tamasha la Wananchi maana wamejaribu mwaka jana lakini ilishindikana.

Lakini uwezo wa Simba na Yanga kuingia Robo fainali umeaalazimisha kuja Tanzania na tutawaona tena. Siwezi kuacha kusifu timu zetu Kwa sababu ya ukubwa wa Ahly na Mamelody.

Let them come, na waje tu iwe usiku au machana.
 
Ahly hawawezi kuja kucheza hapa hata Mechi ya kirafiki. Mamelody wasingeweza kuja hapa hata kwenye tamasha la Wananchi maana wamejaribu mwaka jana lakini ilishindikana...
Dalili za mru ambae yuko ktk taharuki au kiwewe.

Kuja lazima waje, kwanini wasije. Hakuna msiba usio na wenyewe.
 
Utopolo watoe hapo...! Bado hawana Ukubwa, mpaka pale Watakapoingia Kumi bora Afrika...!
 
Na mimi nisiwe muongo
Natamani simba na Yanga zote zipite ziende nusu fainali. Kuna kitu we need to show it to CAF about football in Tanzania
 
Back
Top Bottom