Mkuu,
The president is not above the law that is why constitution lays the procedures on how to impeach him in the National Assembly (Read Article 46A of the constitution of the United Republic of Tanzania)
Nobody has given you limited premises to challenge the president elect; you can do it to put the record clear as benchmark for other grievances of the same nature.
Kwa mjibu wa katiba ambayo ni sheria mama article 46 (3) Rais aliyestaafu ana kinga kushitakiwa mahakamani; hata hivyo kinga hiyo ina mipaka iliyoainishwa kisheria.
Mh Rais anaweza kushitakiwa mahakamani kupitia mkurugenzi wa mashitaka (DPP) na kesi ikasikilizwa kama kesi zingine za jinai kwa masharti yafuatayo"
1. :..Jambo …..alilofanya……kama Rais wakati alipokuwa bado anashika madaraka ya Rais kwa mujibu wa katiba…..” Hapa kinga inafanya kazi Article 46(3)
2. ".....Vitendo......alivyofanya........akiwa Rais wakati alipokuwa bado anashika madaraka ya Rais kwa mujibu wa katiba....."Kinga haihusiki hivyo anaweza kushitakiwa kwa kuzingatia ni vitendo gani vilivyo kinyume na katiba. Mfano ukiwa Rais unaendesha gari mwenyewe kisha ukagonga raia na kuua, hapo hakuna kinga maana kwa mujibu wa utaratibu huruhusiwi kujiendesha mwenyewe hivyo matokeo ya kitendo kilichosababisha kosa la kugonga na kuua unalibeba mwenyewe kama 'X' na sio Rais
Haya kazi kwako mdadisi
If you are a brilliant lawyer, skilled, well informed and confident you can step in to initiate the impeachment motion to sue the president elect, so teh ball is at your armpit to bull it