Kitendo cha Lema na Familia yake kupewa Asylum Canada kinaashiria Taifa limeanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, jambo ambalo halina afya

Tusiwe wachoyo Acha nao wapate watu wabishi
 
Ukimbizi wanajitengenezea wenyewe, mbona huo Ubalozi wa Canada haukumuuliza Lema kipindi akiwa jambazi wa kuiba magari aliua watu wangapi kama kweli kafanyiwa veting ya kutosha kabla ya kupewa hifadhi ya ukimbizi?
Lema alikuwa jambazi !? Mzalendo uchwara alishindwa kumkamata ili kumpoteza kwa ujambazi wake!? Sio bure una faili mirembe wewe.
 
Hata mimi natamani ukimbizi wa aina ya Lema, ili watoto wangu wakasome bure huko Canada.
Naomba ushauri au connection nifanyeje?
 
Vipindi viwili amekuwa mbunge na pension nono plus mishahara mil 12 kila mwezi halafu akose cha kula.
Unaweza kuta wewe unaeongea hivyo ni wale vijana wanaosubiri ajira.
Ulikuwa unamtunzia wewe pesa za akiba. Hivi umewahi kupata pesa nyingi au unasikiaga tu!!!!
 
Hivi ule unyama mliokuwa mnatenda kwa miaka yote mitano na mauaji, utekaji na utesaji wa raia kwenye uchaguzi, huku ikiagizwa Lema auliwe ama apewe kesi isiyo na dhamana mnadhani dunia ilikuwa haioni?
Kamanda nipe connection mkuu. Hata mie natamani ukimbizi wa aina ya Lema. Shule za Bongo watoto wanasoma kwa shida.
 
Kumbe??
 
Tulizoea haya kutokea kwa majirani zetu na tuliyakemea ikiwemo viongozi wetu waandamizi kushiriki kuwarejesha nchini kwao wakimbizi wakisiasa. Tunalo jukumu lakufuta sifa hii mbaya iliyomea na inayostawi.
Lema ni mkimbizi wa kiuchumi,mchumia tumbo,tapeli na msanii tu
Si mara ya kwanza hii,mwaka 2000 kuna wapemba walikimbilia shimoni,mombasa na kujifungulia kabisa kambi la wakimbizi kama vile wapo kasulu,mwishowe wakatawanywa nchi za ulaya ,mchezo wao ukafanikiwa
 
Eti atapata kazi nzuri

Kitaaluma Lema ana fani gani? Tuanzie hapo kwanza.

Kwa taarifa yako Ugaibuni kama huna taaluma ya kueleweka utaishia kubeba mabox
 
Duuh nyie wasomi bwana..Is impeachment the synonum of sueing?
What do you understand this Article 46.Immunity from criminal and civil proceedings?
Yaani unataka kutuambia kua impeachment maana yake ni kushitakiwa mahakamani?
Kumbuka kua ni mahakama tu yenye jukumu na haki ya kutoa hukumu
Article. 107A. Authority of dispensing of justice.
 
Ninachikiona ni hasara kwa watanzania. Watetezi wetu ndio wanaondoka mmoja mmoja hivo au labda niseme ndio kwa makusudi mazima wanafanywa waondoke. Sasa kazi kwetu, uwoga wetu ndio utaendelea kutuponza!
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Mkuu utakua unapulizwa njia ya kutolea mashudu ? Swali kwako hiyo sio kazi?
 
Kwahiyo nawwe unaamini kabisa kwamba Lema alikua anatishiwa uhai wake na watawala.
 
Hili ni jambo ni zito mno kwa Taifa letu kuanza kutengeneza wakimbizi wa kisiasa, ila kwa wana CCM watakuambia kakimbia aibu ya kushidwa uchaguzi.
 
Hakuna kitu kizuri kama uhai kaa utulie zako Canada mzee msalimie Wilbroad Silaa.

Mhe Slaaa hayupo Canada yupo Sweden (kama sikosei) ila mwambie amsalimie waziri wa uhamiaji(mambo ya ndani) wa Canada ambaye katoka taifa jirani yetu Somalia!! Note waziri wa Immigration wa Canada ni Msomali!!!
 
Amekimbia madeni yake yaliyosomwa bungeni ya milioni zaidi ya 400?

Lema unazidi kuwachafua zaidi wachaga, dawa ya deni ni kulipa siyo kukimbia na kujifanya mkimbizi feki, sasa umekimbilia kwa wazungu watakupa kazi ya kuosha vibibi na vibabu.
Lema ni tajiri kabla hata ya siasa. Bado mdogo ajali familia yake sasa badala ya kuuliwa na wapenda madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…