Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili.
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma. Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma. Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja