Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ahahahaha.Hili nililiona muda mrefu. Kampeni ya kuwa-gaslight wananchi kuhusu ushoga ilianza February 2023, ilikuwa ni njia ya kusahaulisha makosa mengi ya serikali. Ila kwa kuwa wananchi ni wapumbavu, tushayumba.
Huruma sanaWakikamata fisadi hata mmoja niite mbwa nimekaa pale
Kesi za kuku na rushwa za shilling elfu 10 Uta shuhurikiwa perpendicular.......Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili .
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma.
Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Hii mimi nilijua tu kuwa huu ni mchezo kama corona, ili kututoa kwenye reliAhahahaha.
Huruma sana
Akikamatwa fisadi nchi itatikisika hii.Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili .
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma.
Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili .
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa mali za umma.
Tuanze na mafisadi kisha twende kwa mashoga au wote kwa pamoja
Issue ya Ushoga ni mkakati ili watz wasifatilie Mambo muhimu ya nchi ..Katika kipande cha amri inayodaiwa kutolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kivukoni iliyopo Kinondoni inaonesha Mwanamitindo Noel Ndale Mushi maarufu kama Noel ambaye ni mbunifu wa mavazi ya wasanii , Kelvin Maliki Ngao maarufu kama Kelvin Events na Mzungu Mmoja anauejulikana kama David wameamriwa wapimwe endapo wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani ushoga na mpaka sasa bado wanashikiliwa na polisi Oysterbay.
Ikibainika wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja watakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
Ila Watanzania dahh😳😳😳Tz tatizo la Ushoga limekuzwa na ccmili waibe hela za nchi kirahisi
Mafisadi yanakamatwa sana,sema yanafanyiwa plea bargain za kimyakimya ndiyo maana unaona yanaendelea kudunda mtaani Kama kawa! Ni masikini tu ndiyo hawana uwezo wa kununua uhuru wao Kama Mafisadi na ndiyo maana unaona Jela kumejaa Masikini!!Wakikamata fisadi hata mmoja niite mbwa nimekaa pale
DaaaahhhAisee naona watoa mikund.u mmekuja jisemea
Kwa sababu wananchi wengi wanapenda mijadala ya aina hyo.Tz tatizo la Ushoga limekuzwa na ccmili waibe hela za nchi kirahisi