johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa Mh. Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama.
Mwalimu alichachamaa baada ya Nyahuza kuhoji uvunjifu wa protokali uliofanywa na viongozi wa Chadema Tundu Lissu na Mwalimu kuingia wakiwa wa mwisho katika mkutano ambao wao ni waalikwa.
Akiwa na hasira Mh. Mwalimu akasema Nyahuza afanye yake asivipangie vyama mambo ya ndani.