Uchaguzi 2020 Kitendo cha Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu kumshambulia kwa maneno Msajili wa Vyama siyo cha kiungwana

Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama...
Msajiri naye hana dogo? Hata huko ACT anataka kuwa mwenyekiti wa kikao na hali naye ni mwalikwa?
 
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema Mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama...
Wewe ulitakaje?
 
Tutatumia ubabe wa ccm kuwaangusha ccm mwaka huu.
 
Sishangai. Chadema hawazipendi na hawazimini karibia taasisi zote za serikali. Lakini chadema hawavitaki na wamegombana na vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Police imekuwa kama Greenguard tu
 
Ccm
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema Mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama.

Mwalimu alichachamaa baada ya Nyahuza kuhoji uvunjifu wa protokali uliofanywa na viongozi wa Chadema Tundu Lissu na Mwalimu kuingia wakiwa wa mwisho katika mkutano ambao wao ni waalikwa.

Akiwa na hasira mh Mwalimu akasema Nyahuza afanye yake asivipangie vyama mambo ya ndani.
Lumumba mmegeuka watu wa matukio badala ya Sera 😅😅
 
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema Mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama.

Mwalimu alichachamaa baada ya Nyahuza kuhoji uvunjifu wa protokali uliofanywa na viongozi wa Chadema Tundu Lissu na Mwalimu kuingia wakiwa wa mwisho katika mkutano ambao wao ni waalikwa.

Akiwa na hasira mh Mwalimu akasema Nyahuza afanye yake asivipangie vyama mambo ya ndani.
Kama msajili msaidizi hana adabu lazima afokewe siyo kubembelezwa, hongera Salun Mwalimu, Chadema haturembi.
 
Yule msajili wa vyama utafikiri hakua jaji wa mahakama.
Binafsi toka nikiwa mdogo hua naamini mahakimu na majaji ni watu wanaofikiri sana, watu wa kutumia mantiki/logic kuamua. Niseme ukweli imekua hivyo kwa kiasi kikubwa ila baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia imekua tofauti sana.

Mutungi utafikiri alisomea ushirikina, mambo anayoyafanya unajiuliza mara mbili mbili, huyu aliwahi kua jaji?
Tatizo wasomi wetu njaa,
 
Back
Top Bottom