johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akikujibu naomba unitag Madam nije kusoma comment yake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mbona hukemei udhalilishaji wa Polepole kwa Maalim Seif au CCM ni untouchable?
2012 Lissu bungeni alisema Majaji wetu uwezo wao ni mdogo sana na kwny utekelezaji wa majukumu yao hata kuandika hukumu ya kurasa 1 kwa kiingereza hawawezi na kutafsiri sheria zilizoandikwa kwa kiingereza hawajui.Yule msajili wa vyama utafikir hakua jaji wa mahakama.
Binafsi toka nikiwa mdogo hua naamini mahakimu na majaji ni watu wanaofikiri sana, watu wa kutumia mantiki/logic kuamua. Niseme ukweli imekua hivyo kwa kiasi kikubwa ila baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia imekua tofauti sana.
Mutungi utafikiri alisomea ushirikina, mambo anayoyafanya unajiuliza mara mbili mbili, huyu aliwahi kua jaji?
Polepole pumzi imekata amepanick ukiangalia Hussein Mwinyi ná Maalim Seif Zanzibar ni mbingu na ardhi.Kwa akili zao za kuku wanafikiri CCM peke yao ndiyo wana haki ya kukashfu!
Manka Msajili Jaji Mutungi ni mtu mkubwa sana!Mbona hukemei udhalilishaji wa Polepole kwa Maalim Seif au CCM ni untouchable?
Ndugu una mawazo mazuri lakini kumbuka ukishateuliwa na CCM Ni lazima utumie cheti Cha chekecheaYule msajili wa vyama utafikir hakua jaji wa mahakama.
Binafsi toka nikiwa mdogo hua naamini mahakimu na majaji ni watu wanaofikiri sana, watu wa kutumia mantiki/logic kuamua. Niseme ukweli imekua hivyo kwa kiasi kikubwa ila baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia imekua tofauti sana.
Mutungi utafikiri alisomea ushirikina, mambo anayoyafanya unajiuliza mara mbili mbili, huyu aliwahi kua jaji?
Hahahaaaa! Kazi na Bata!Ila na wewe unawashwa washwa sana. Kama huna cha kuandika sio lazima kuanzisha thread. Sasa ona heading na contents.
Kumbe!Aisee, Salum Mwalimu ni kiboko