Uchaguzi 2020 Kitendo cha Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu kumshambulia kwa maneno Msajili wa Vyama siyo cha kiungwana

Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama...
Msajiri naye hana dogo? Hata huko ACT anataka kuwa mwenyekiti wa kikao na hali naye ni mwalikwa?
 
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema Mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama...
Wewe ulitakaje?
 
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema Mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama...
Tutatumia ubabe wa ccm kuwaangusha ccm mwaka huu.
 
Ya msajili yanawahusu nini, mmepoteana mataga
 
Sishangai. Chadema hawazipendi na hawazimini karibia taasisi zote za serikali. Lakini chadema hawavitaki na wamegombana na vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Sishangai. Chadema hawazipendi na hawazimini karibia taasisi zote za serikali. Lakini chadema hawavitaki na wamegombana na vyombo vya ulinzi na usalama.
Police imekuwa kama Greenguard tu
 
Mgombea mwenza wa urais wa Tundu Lissu kwa tiketi ya Chadema Mh Salumu Mwalimu amemtaka Msajili Msaidizi wa vyama vya siasa mh Nyahuza kutoingilia masuala ya ndani ya vyama...
Mimi kanifurahisha Fatuma Karume
 
Ccm
Lumumba mmegeuka watu wa matukio badala ya Sera 😅😅
 
Kama msajili msaidizi hana adabu lazima afokewe siyo kubembelezwa, hongera Salun Mwalimu, Chadema haturembi.
 
Yule msajili wa vyama utafikiri hakua jaji wa mahakama.
Tatizo wasomi wetu njaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…