Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Kitendo cha Museveni na Kagame kutokuja kumuaga hayati Rais Magufuli kinaashiria nini?

Salva Kirr wa Sudan kusin naye hakuja wala kutuma mwakilishi wake..wakati wa uhai wa JPM wakiwa Mwenyekiti wa EAC ndiye aliyeidhinisha nchi hio kuwa mwanachama wa EAC
 
Salva Kirr wa Sudan kusin naye hakuja wala kutuma mwakilishi wake..wakati wa uhai wa JPM wakiwa Mwenyekiti wa EAC ndiye aliyeidhinisha nchi hio kuwa mwanachama wa EAC
Msimlahumu Salva Kirr, Taifa lake limepoteza mawaziri chungu mzima pamoja na Majenerali wa jeshi lake.

Kovid imepukutisha sana wasaidizi wake wa karibu, hataki tena kuchukuwa unnecessary risk ya kuhatarisha maisha yake mwenyewe na wasaidizi wake - amepata somo la kutosha kwamba ugonjwa huu ukiufanyia masihara hauna SIMILE.
 
Wao ni watoto wakubwa wa nyumba kwahiyo huenda wametangulia nyumbani chato kuandaa mambo ya mila mapema!! nawaza nje ya box
 
Vipi kuhusu yule Rais wa Ethiopia aliyekuja kumtembelea juzijuzi akiwa Chato, yeye amekuja? Kama hajaja, kuna mwaklishi wake alikuja?
 
Lipo jambo usilolijua mkuu.Neo-colonial governments which protect foreign interests in the DRC Congo are the leadership of the Congo DRC itself,Rwanda,Burundi and Uganda.So leaders of these countries are agents for Western interests in the DRC.So would you expect Museveni and Kagame to like a Pan-Africanist like Magufuli who is against pinching Africa's resources by the West? Surely no.

Fuata link ifuatayo,it is a good reference for you.



 
Sidhani hata yule wa burundi kama alikuja, mbwembwe nyingi sana yani laiti mola angetupa ufunuo wa kuona kesho yako sijui tungeishi kimfumo gani hapa duniani...

Haya maisha ni kama kamali wallah.
 
Nikajua hawakutuma wawakilishi, kumbe walituma basi inatosha mkuu,
Maana hata mkuu wetu pia alikua mara nyingi anapenda kutuma wawakilishi kwenye misiba .
 
Back
Top Bottom