Kitendo cha Mwakalebela kuita waandishi na kulalamika ni Ushamba

Tuki balance equation ni hivi points yanga alizovuna kwa kufaidika na maamuzi mabovu ya marefa(kubebwa) ni nyingi kuliko points alizonyimwa.

Hapo ndio ujue wewe ni utopolo kweli yaani unaongelea mechi za kutobebwa tu wakati mmebebwa kwenye mechi zaidi ya 4 . Kama umesahau sema ukumbushwe.
 
Hayo unayoongea yameshatokea mechi ya kwanza yanga na kagera Mwamnyeto alinawa mpira ndani ya 18 lakini hatukusikia yanga wanasema chochote
 
Kama kweli Mwakakebela ana masters basi hicho chuo kilichompa hicho cheti kinapaswa kufutwa kabisa duniani.Masters sio cheti cha ndoa jamani!
 
Ni kweli waamuzi wanaionea sana Yanga bana, acheni ukweli usemwe.

Tunaangalia mechi za simba na pia tunaona mechi za yanga.
Hawa waamuzi Ni wengine au ndiyo hao hao walichezesha wakati mlipokuwa mnashinda.Leo wakaanza kuwaonea.
 
Mi najiuliza hivi yule Mwakalebela aliyekuwa Tff na huyu wa yanga ni mmoja, kama ni mmoja kwanini alipokuwa Tff alifanya kazi vizuri lakini alipokuja yanga amekuwa utopolo.

Tatizo linaweza kuwa yanga au Mwakalebela binafsi.
Hili swali linataka kufanana na mambo y ama vyama ya siasa ukiwa upande fulani unaonesha umahiri na akili timamu na ukiingia kwenye li chama fulanibunakuwa kama nguruwe unaweza kula hata watoto wako bila kuona aibu
 
Hawa waamuzi Ni wengine au ndiyo hao hao walichezesha wakati mlipokuwa mnashinda.Leo wakaanza kuwaombea.
Hapa tumuulize Jecha alipojaribu kufuta na alipotaka kujaribu ku ... vipi alionekana katika jamii na anajihisi vipi?
 
Huyu ni wa kumtimua tu
 
Wewe kama shabiki, balance sheet ya Yanga au Simba inakusaidia au inakuongezea nini mfukoni??

Tuseme ni kweli akina Mo wanapata faida, Je ulitaka wasipate wakati wakati wamefanya Investment ya kutosha pale??

Mwisho, zile pesa mlizokuwa mnachanga kwenye mabakuri uliuliza zilikuwa zinaenda wapi?
 
Tuliwaambia achaneni na mechi ya As Vita vs Simba, kwani inaweza kuwaathiri kisaikolojia hamkusikia....sasa na Morison ndo anazidi kuwakera unadhani mtu mzima Mwakalebela ataacha kudata?stay away from Simba guys kwa mustakabali wa afya zenu.
Akiwa TFF pamoja na Malinzi ndio walisababisha Simba akae mitano bila ubingwa. Sasa kinachoendelea ndio kinaitwa KARMA
 
Equestion ndo nini wewe kilaza? Huna elimu,huna akili. Hujui kiswahili. Hujui kiingereza. Wewe unakuaje mshabiki wa yanga? Unatetea upumbavu wa Mwakalebela au kwa sababu na yeye ni Mnyakyusa kama wewe? MWAipopo/ MWAkalebela ni Ukabila tu unakufanya utetee upumbavu na pia kukosa elimu. Eti Mwakalebela ana Masters. So what kama ana Mastering of Upumbavu in Zuzu Majiology? Nyani kabisa wewe ndo mnaosababisha Walimu watuite sisi Mbwa na Nyani sababu ya mauchafu haya yaliyojaa kichwani mwako..... Takataka kabisa,kichefu chefu wewe...
 
Ni kweli waamuzi wanaionea sana Yanga bana, acheni ukweli usemwe.

Tunaangalia mechi za simba na pia tunaona mechi za yanga.
Lile goli kona waamuzi hawakuipendelea yanga na ile penati ya simba waamuzi hawakuibeba yanga aka uto kidimbwi fc
 
Natamani nikupe like nyingi.
Hivi simba na Yanga ujinga huu unatokana na nini?
Mbona timu nyingine changamoto hizo zipo nyingi sana lakini wakilalamika hivyo?
Hata Ulaya pamoja na VAR lakini matatizo hayaishi lakini usikii viongozi au kocha kuwalalamikia wamuzi kama wanavyofanya Simba na Yanga.
Afu kibaya ikiwa makosa yamewafavour wao hawasemi
Yaaani hawa mapacha bhana shida sana. Ko mwakalebela alivyoona Manara kaleta TV kuelezea makosa ya marefa akaona anafaidika sana?
Manara alisema wataenda FIFA mashabiki wa Yanga walitania sana kua wazee wa FIFA,
Pacha mwenzake kaja na Kali zaidi kua atajitoa kwenye mashindano yeye hata FIFA hawaiamini.
Jamani tucheze mpira, uishie uwanjani. Huku njema tuchekane ndio utani wetu. Wache marefa wafanye kazi yao.
 
Chama cha soko Afrika kusini kinatakiwa kiondoe adhabu ya Luc. Kumbe alikua sahihi kabsa.
Ndio maana CAF na FIFA hawakuona shida yoyote hadi kumfungia Luc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…