Tuki balance equation ni hivi points yanga alizovuna kwa kufaidika na maamuzi mabovu ya marefa(kubebwa) ni nyingi kuliko points alizonyimwa.Unaisolveje changamoto wakati tff yote ni simba tupu, hakuna pa kupenyea. Kesi ya ngedere unampelekea nyani kuna kitu hapo?!
Mechi tunaangalia zote za simba na yanga, penye uonevu panaonekana wazi tu.
Hizo danadana za kesi za yanga mnadhani hatuoni
Kuna haja gani ya kuendelea kucheza kama mmeishapanga bingwa, si bora kujiondoa mjitangaze kabisa.
Hapo ndio ujue wewe ni utopolo kweli yaani unaongelea mechi za kutobebwa tu wakati mmebebwa kwenye mechi zaidi ya 4 . Kama umesahau sema ukumbushwe.