Kwani anayeidhinisha mwigulu yupo sahihi mama hajui lolote yeye ni kusaini tuMwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .
Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.
Watajuana wenyeweWaache washikane uchawi
Tena wanaaema kabisa Rais Samia ametoa kiasi kadhaaaMbona Rais anapopeleka maendeleo sehemu mbalimbali huwa wanamsifia?
Kwanini basi hayo hizo pesa anazopeleka kwenye hayo maendeleo zikipigwa asilaumiwe?
Hawa wasanii wanadhani wakinukuu vifungu vya Katiba ndio watatushika akili, hadanganyiki mtu hapa.Tena wanaaema kabisa Rais Samia ametoa kiasi kadhaaa
Kama anahusika asitajwe ,?? Watanzania ni vichwa maji sana ,hakuna mtu mwenye akli timamu anaweza hangaika na ripoti ya CAG , ni ripoti flan hv ya kuwafanya watanzania wawe busy kujadiliAnamkosea sana Rais!
Kwahiyo Rais anashiriki upigaji?
Huyo leo siku isiishe hajawajibishwa.
Kwahiyo imetungwa na tusijadili mstakabari wa nchi yetu...bora madeni yakizidi tuuze nchi kila mtu ajue ataenda ishi wapiKama anahusika asitajwe ,?? Watanzania ni vichwa maji sana ,hakuna mtu mwenye akli timamu anaweza hangaika na ripoti ya CAG , ni ripoti flan hv ya kuwafanya watanzania wawe busy kujadili