Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .

Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.

Watajuana huko huko 🤪🤪
 
Kama ni Rais yule mwendazake inawezekana Mwigulu anasema ukweli mtupu.

Si ilikuwa tunasema hii ni Serekali ya JPM na akawa anaamua atakavyo yeye maana ni Serekali yake.
Na mimi naamini kuwa hili deal lilifanywa na mwendazake akiwa na watu wake kule BOT na Hazina tayari palikuwa na MTU wake SASA mama kaingia akafanya mabadiliko ya ghafla hapo ndipo lilipobumbuluka na vocha ilipokuja ikabidi wafanye nao "Betting" wapime kina cha maji wakakuta mzanzibari kiberiti kimejaa sio Tena kama vile viberiti vya zamani vya Kibo match box toka Moshi.,MKEKA UMECHANIKA
 
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .

Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.

Ila Mwigulu bhana, hivi waziri hujui kabisa kuwa hata yeye hapo yupo kwa niaba ya raisi mpaka azunguke wee na kuleta mambo ya ceiling 😃
 
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .

Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.

Mwinguru hapo amesema toka awamu ya nne imekuwa ikifanyika hivyo... Mm kama mwananchi wa kawaida nimepata majibu... ndio maana hakuna wa kukamatwa hata kama wageiba fedha zote za bajeti ya mwaka fedha... so far rais hashitakiwi... Asanteni Sana.
 
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .

Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.

Mbona watu wanazunguka mbuyu?
Mbarawa alitaka kupiga!
Wizara yake inahusika moja kwa moja.
 
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .

Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.

Ndio nimsiki hapa hyo kauli ya mwigulu imemake headlight kwenye vyombo vingi vya hbr

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mfano mdogo tu, wewe ni muhasibu, boss wako akakwambia toa kiasi fulani cha fedha bank kwa ajili ya uendeshaji wa kampuni, utakataa ama utakubali?
Nb: ukikataa achia nafasi apewe mwingine
 
Mwigulu Yuko sahih rais ndio muhisinishaji wa pesa zote na ndio maana aliona over invoice imeletwa ofcn kwake wale waliohusika kuandaa hyo invoice wakishirikiana na mabeberu ndio waajibishwe kuanzia kuandaa na kujadili

Mabeberu nao Ni wezi tu kama waafrica

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .

Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.

Wote wapigaji tu. Rais kajifanya amekasirika kumbe anaticha dhambi.
 
ameitendea haki, ile kanuni ya chama " ntaisema kweli daima"
Ametoboa Siri nyingine ya baraza la mawaziri.. anasahau alishika vile vitabu na kusema sitotoa Siri ya .....

Aisee acha tuone huu ni mwanzo tu mwisho bado haujatoka kwa maana hio mama analalamika Ila upande wa pili yeye mwenyewe ndie anapiga saini wezi na wapigaji wachukue pesa ?

Hii ndio ile unaibiwa alafu unapewa mkono wa pole na mtu aliekuibia

Noma na Nusu kwa hio kwenye wizi ambao hadi wanaokula pesa anawaita stupid pumbavu na yeye yumo ?

Sasa km ni hivyo na yeye tumuiteje ?
 
Back
Top Bottom