Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali .
Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya Nishati, Wizara ya Afya, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Habari na Wizara ya Maji, TAMISEMI na maendeleo mbalimbali.
laana ya kuwatukana watanzania waende burundi mara unawaita wabunge wenzako waganga wa kienyeji kama alivyosema mbunge wa Igalula mh venant, mh katani alisema mwigulu ana academic arrogance ndio maana unajikuta unamtaja hadi rais kuhusika na wizi wako mtaendelea kutajana mmoja baada ya mwingine na wallah nakuhakikishia mwigulu laaana hiyo ya watanzania itakutafuna sasa na hadi akhera....