Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

Ule mkeka mkubwa wa December 2022 mbona hausomwi?

Kama umegoma UCHANWE tujue moja.

Maana mtu yule alipotoboa 2022 binafsi simuongelei tena maana nilishamfuta.
 
Mbona Rais anapopeleka maendeleo sehemu mbalimbali huwa wanamsifia? amejenga zahanati, barabara, madarasa, sifa zote kwake..

Tena Ole Sendeka ndie huwa kinara wa kutoa hizo sifa.

Kwanini basi hizo pesa Rais anazopeleka kwenye hayo maendeleo zikipigwa asihusishwe? badala yake lawama waangushiwe watendaji tena kwa kunukuu ibara ya Katiba?!

Basi kama ndio hivyo, kuanzia leo wanapojenga barabara, shule, zahanati.. pongezi wapelekewe hao watendaji.

Lakini tofauti na hapo, Rais anahusika kwa yote hayo, Mwigulu yupo sahihi, ndio maana Rais amekuwa mpole kwa wapigaji, anawabembeleza waondoke wenyewe ofisini.
Wamejaa unafiki hao.. waache basi kumtajataja Rais hata kwa vitu vya hovyo..

Mwigulu yuko sahihi kwa trend ya nchi inavyokwenda..
 
Ametoboa Siri nyingine ya baraza la mawaziri.. anasahau alishika vile vitabu na kusema sitotoa Siri ya .....

Aisee acha tuone huu ni mwanzo tu mwisho bado haujatoka kwa maana hio mama analalamika Ila upande wa pili yeye mwenyewe ndie anapiga saini wezi na wapigaji wachukue pesa ?

Hii ndio ile unaibiwa alafu unapewa mkono wa pole na mtu aliekuibia

Noma na Nusu kwa hio kwenye wizi ambao hadi wanaokula pesa anawaita stupid pumbavu na yeye yumo ?

Sasa km ni hivyo na yeye tumuiteje ?
Kama Manager anamwita karani STUPID,

Owner wa Kampuni atatoa TUSI Gani?
 
Haya ndio mambo serikali ya Magufuli ilikuwa aingaiki nayo akishatoa maelezo mara moja; asietaka kuelewa kama Asad atajijua mwenyewe.

Mwigulu yupo sahihi kitaalamu kaeleweka, na ajasema raisi anashiriki kwenye wizi.

Ni uelewa mdogo tu wa wabunge na speaker namna ‘expenditure control procedures’ za matumizi zinavyofanya kazi.

Kilichonifurahisha ni somo atakalopata Bi Tozo kwa namna ilivyo rahisi watu kubadili meaning ya alichosema. Ndio hadithi za mtangulizi wake mengi ni mambo kama haya uzushi tu.
 
Lipi tatizo la waziri?

Nchi hii hadi ilipofikia kwenye suala la upigaji kwa sababu atuambiani ukweli, aingii akilini malipo yanayofanyika kiongozi mkuu asijue, sasa yeye kazi yake nini?
 
Back
Top Bottom