Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Kile kitendo cha kueleza kuwa alikuwa anafanya mawasiliano ya kila mara na Humphrey ni circumstantial evidence kuwa huyu mzee anajuwa wapi alipopelekwa Polepole.

Kama walijadili juu ya Polepole kupinga uchaguzi kufanyika bila reforms.Waliongea juu ya Poepole kuacha kazi sababu ya maovu ya CCM mtandao.

Alafu Polepole akawa anaongea kwenye mitandao. Kisha akapotea.

Na mtu aliyekuwa anafanya nae mawasilano ni Yeye huyu Mzee hadi mara ya mwisho.

Anajua nini kilimpata Polepole.
 
Polepole alikuwa mpuuzi!!
Umepewa shavu la kuwa ambassador wa Nchi,unaleta utoto kuwatetea hawa wapuuzi wa Simba na yanga
 
Hivi kwani Bado polepole Yuko hai, au ndo hivo Tena kama kina Ben Saa nane na azori gwanda na akina soka
 
Polepole alikuwa mpuuzi!!
Umepewa shavu la kuwa ambassador wa Nchi,unaleta utoto kuwatetea hawa wapuuzi wa Simba na yanga
Kama hujui polepole ndo kahamasisha watu kuandamana.
Hao chadema mnawasingizia.

Polepole ndo kawafanya CCM na serikali nzima kuishi kama digidigi.

Tunahitaji vijana 100 kama polepole. Hii nchi tutafikia hata level ya Morocco
 
Polepole alikuwa mpuuzi!!
Umepewa shavu la kuwa ambassador wa Nchi,unaleta utoto kuwatetea hawa wapuuzi wa Simba na yanga
Dhamira yake ilikataa kufanya kazi na watu waliokosa uzalendo, wakiritimba, wabinafsi na wazembe.
Kuna watu pesa au madaraka siyo kila kitu kwao. Maadili na itikadi fulani wanayo amini ndiyo kila kitu kwao
 
Anasema aliwasiliana na Polepole "mara 2", ila ukimsikiliza ametaja matukio 3 ya kuwasiliana naye. Inawezekana pia zipo mara 4 na 5 ambazo hajazitaja.
 
Dhamira yake ilikataa kufanya kazi na watu waliokosa uzalendo, wakiritimba, wabinafsi na wazembe.
Kuna watu pesa au madaraka siyo kila kitu kwao. Maadili na itikadi fulani wanayo amini ndiyo kila kitu kwao
Alikiuka kiapo
 
Back
Top Bottom