Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

Kitendo cha Mzee Butiku kujitokeza kujibu juu ya Polepole kutekwa ni dhahiri kuwa anafahamu mchongo mzima

Polepole alikuwa mpuuzi!!
Umepewa shavu la kuwa ambassador wa Nchi,unaleta utoto kuwatetea hawa wapuuzi wa Simba na yanga
Wewe ni sampuli halisi ya watu wote waliopo ndani ya CCM ienzi hizi. Hadhi ya kila mmoja wenu ni kama bidhaa yenye thamani hafifu sana.
Aligoma kushiriki uovu.
Sijui kama huko ndani ya CCM kuna mtu mwenye fikra tofauti na za huyu uliyemjibu hapo!
 
WALIO WAMBIA MAPAI POLEPOLE ALIPO NI WALE ALIOKUWA ANA WASILIANA NAO, YEYE MWENYEWE
 
Pascal Mayalla naona huyu mtu polisi wangetaka wamuite na wamuhoji huenda akawasaidi kupatikana kwa huyo aliyepote maana amekiri walikuwa wanawasilina pengine walibadilisha mambo flani flani ambayo yangepelekea kupotea kwake.


Hivi inawezekaje polisi mpaka sasa haijatoa taarifa yakinacho endelea na hili tukio, ambalo limetokea tanzania kwa mtanzania wa kawaida. Hivi hali yetu ya usalama sisi kama raia iko wapi kama hatupewi update ya mambo kama haya
 
Anasema aliwasiliana na Polepole "mara 2", ila ukimsikiliza ametaja matukio 3 ya kuwasiliana naye. Inawezekana pia zipo mara 4 na 5 ambazo hajazitaja.

Anasema tuisubiri tume ya Samia. Huyu mzee hajitambui. Mzee ni mhuni. Ametumwa kumsafisha Samia.
 
Back
Top Bottom