kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana

kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
9,024
Reaction score
18,683
Salaam.

Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao wakatupa magunia ya chakula mtaroni halafu wakachukua pikipiki.

Hivi kweli hiki kitendo raia watakosa chuki kwa hawa watu kweli? Unatupa chakula kwenye mtaro wa maji kisa tu mtu amekosea kuingilia msafara walahy hatuna polisi duh. Sijui ndugu waziri wa mambo ya ndani. atasema nini.


 
Polisi wetu kuna mda inakuwa ngumu sana kuwatetea
 
Haipendezi na alivo mjinga huenda mke wake akanunua sokoni icho chakula akampkia .yeye akatupa mtaloni
 
Salaam.

Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao wakatupa magunia ya chakula mtaroni halafu wakachukua pikipiki.

Hivi kweli hiki kitendo raia watakosa chuki kwa hawa watu kweli? Unatupa chakula kwenye mtaro wa maji kisa tu mtu amekosea kuingilia msafara walahy hatuna polisi duh. Sijui ndugu waziri wa mambo ya ndani. atasema nini.

Link ya video

Kwa nini huyo kijana hakusubiri hao wakimbiza mwenge wapite halafu ndipo yy aendelee na mzigo wake? Si angeliweza kusababisha ajali. Kijana hana subira? Aliona kwamba shughuli yake ni muhimu zaidi ya kuzingatia usalama barabarani?
 
Kwahiyo hukumu ya kosa lake ni kutupa maharage yake mtaroni?
Hawakuwa na namna.Walikuwa wanaenda na muda. Hapo ujue walimsamehe kiania tu; wangeliweza kumweka hifadhini kituo chochote kilicho karibu kwa muda hadi zoezi la mwenge lipite ndipo warudi kuendelea naye. Usicheze na mamlaka.
 
Daaah palikua pakavu kwenye mtaro bana..... Kingine yale marage yalikua kwenye kiroba.
Mbna mna sambaza habari za uwongo hivi...

Lengo la kufanya vile ni kumpa adhabu yule raia.
 
Daaah palikua pakavu kwenye mtaro bana..... Kingine yale marage yalikua kwenye kiroba.
Mbna mna sambaza habari za uwongo hivi...

Lengo la kufanya vile ni kumpa adhabu yule raia.
Sio adhabu tu, bali pia ni kumfunza adabu na awe anaheshimu Mamlaka.
 
Polisi wa bongo pumbavu zangu
Sio sahihi mkuu. Kwani huyo kijana angelisubiri ingemchukua dk. ngapi na huo mwenge uwe umeshapita? Hebu ona hasara aliyojipatia kutokana na kushindana na kuonesha dharau kwa jambo la muda mfupi sana i.e. mwenge kupita hapo alipopataka nae kupita. Tunagombania fito wakati tunajenga nyumba moja. Mwenge na shughulizake na boda na shughuli zake lakini barabara iliyokuwa inatumika ni hiyo-hiyo yetu sote.
 
Back
Top Bottom