Kwa nini huyo kijana hakusubiri hao wakimbiza mwenge wapite halafu ndipo yy aendelee na mzigo wake? Si angeliweza kusababisha ajali. Kijana hana subira? Aliona kwamba shughuli yake ni muhimu zaidi ya kuzingatia usalama barabarani?Salaam.
Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao wakatupa magunia ya chakula mtaroni halafu wakachukua pikipiki.
Hivi kweli hiki kitendo raia watakosa chuki kwa hawa watu kweli? Unatupa chakula kwenye mtaro wa maji kisa tu mtu amekosea kuingilia msafara walahy hatuna polisi duh. Sijui ndugu waziri wa mambo ya ndani. atasema nini.
Link ya video
166K views · 3.8K reactions | POLISI wetu wanaakili ndogo sana kwakweli sasa unatupaje mzigo WA MTU mtaroni kama MTU amevunja Sheria mpelekeni mbele ya vyombo vya Sheria. Ukimuangalia huyu dereva wala Hana mkuu na MTU. | Chadema in Blood
POLISI wetu wanaakili ndogo sana kwakweli sasa unatupaje mzigo WA MTU mtaroni kama MTU amevunja Sheria mpelekeni mbele ya vyombo vya Sheria. Ukimuangalia huyu dereva wala Hana mkuu na MTU.www.facebook.com
Kijana aliwapelekea zigo na boda yake nao wakavichukua vyote.hapo wameyahifadhi badae wanagawana, tunawajua njaa ni kali,, sa maharage yamewakosea nini
Watu hula kilichowekwa tayari mezani -hawaulizi kimetoka wapi.Haipendezi na alivo mjinga huenda mke wake akanunua sokoni icho chakula akampkia .yeye akatupa mtaloni
Kwahiyo hukumu ya kosa lake ni kutupa maharage yake mtaroni?Kwa nini huyo kijana hakusubiri hao wakimbiza mwenge wapite halafu ndipo yy aendelee na mzigo wake? Si angeliweza kusababisha ajali. Kijana hana subira? Aliona kwamba shughuli yake ni muhimu zaidi ya kuzingatia usalama barabarani?
Hawakuwa na namna.Walikuwa wanaenda na muda. Hapo ujue walimsamehe kiania tu; wangeliweza kumweka hifadhini kituo chochote kilicho karibu kwa muda hadi zoezi la mwenge lipite ndipo warudi kuendelea naye. Usicheze na mamlaka.Kwahiyo hukumu ya kosa lake ni kutupa maharage yake mtaroni?
Yana mwishoKwa nini huyo kijana hakusubiri hao wakimbiza mwenge wapite halafu ndipo yy aendelee na mzigo wake? Si angeliweza kusababisha ajali. Kijana hana subira? Aliona kwamba shughuli yake ni muhimu zaidi ya kuzingatia usalama barabarani?
Ni kweli. Hata huo mwenge na tukio husika viliishia pale maharage yalipokwisha tupwa mtaroni na kuondoka na pikipiki.Yana mwisho
Sio adhabu tu, bali pia ni kumfunza adabu na awe anaheshimu Mamlaka.Daaah palikua pakavu kwenye mtaro bana..... Kingine yale marage yalikua kwenye kiroba.
Mbna mna sambaza habari za uwongo hivi...
Lengo la kufanya vile ni kumpa adhabu yule raia.
Sasa kuna watu wanaendekeza hisia pia wanafata mkumbo....Sio adhabu tu, bali pia ni kumfunza adabu na awe anaheshimu Mamlaka.
Sio sahihi mkuu. Kwani huyo kijana angelisubiri ingemchukua dk. ngapi na huo mwenge uwe umeshapita? Hebu ona hasara aliyojipatia kutokana na kushindana na kuonesha dharau kwa jambo la muda mfupi sana i.e. mwenge kupita hapo alipopataka nae kupita. Tunagombania fito wakati tunajenga nyumba moja. Mwenge na shughulizake na boda na shughuli zake lakini barabara iliyokuwa inatumika ni hiyo-hiyo yetu sote.Polisi wa bongo pumbavu zangu
Shauri zao hawajui hata wahenga walionya kwa mseemo wa "Mwenye nguvu mpishe".Sasa kuna watu wanaendekeza hisia pia wanafata mkumbo....