Kitendo cha Putin kuiitisha jeshi la akiba ni maana yake?

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Habri wajomba nazn kunawale vpanga/wachambuzi wenye IQ zao tusaidiane hapa

1:- Kuiitisha jesh la akiba inamaana Jeshi kamili la urusi limemalzwa kwenye uwanja wa pambo..?

2:- Huu ni mwanzo wa vita kamili kwa mrusi zidi ya NATO

3:- JESHI kamili la mrusi (activ personal lipo )?

4:- Mrusi anawez kujishusha mwenyew kuacha vta hii au tunaenda katik vta ya maangamizi?
 
1. kwanza in reality urusi anapambana na combination ya majeshi ya zaidi ya nchi 30 zenye nguvu kijeshi in ukraine jumlisha Facilities nyingine anazopewa ukraine ( Fedha, Silaha na intelijensia ) so kiuhalisia jeshi la urusi mpaka sasa hii vita imeshashinda kitambo tu, kilichonbaki ni kulinda maeneo waliyoyapata ukraine.

2. pili ni kuwa primary goal ya mobilization ni kulinda mipaka mipya ya urussi kutoka maeneo yaliyochukuliwa ukraine then secondary ni kama atashambuliwa ndani ya mipaka yake mipya ajibu inavyotakiwa.

3. wanaodai urusi ameshindwa vita wahoji ameshindwa vita kivipi wakati amechukua more than 20% of ukranian land na hao west wapo wanaangalia maana ameshawashinda kwenye uwanja wa vita tayari.
 
Hoja ya Russia kucheza mziki wa nchi 30 haina mashiko kwani
Russia pekee ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya in terms of surface area. Jiulize Uingerezaalitawala nchi ngapi mbona hazikufurukuta...
Issue hapo ni ubora katika kila kitu.
2. Maeneo anayoshikilia ni pro Russian, kwamba hata yenyewe hayaitaki Ukraine , yaan Russia kwenye hayo maeneo yupo nyumbani.
3. Ukweli utabaki ukweli bila nyuklia Russia ni wa kawaida.
Ana silaha Kali na nyingi sana ila kuna maamuzi na matendo anajichanganya anapasuka kizembe.
4. Mobilization simply means the losses they incurred. Wanaongezwa wajeshi kufidia waliokufa

TUWE WAPOLE PANDE ZOTE yaan waukraine wa buza na warusi wa buza baada ya miezi sita tena tokea leo tuone.
Russia will escalate ila Ukraine atapoa atamsubiri Russia ajae kwenye aweke kambi kubwa na miundo mbinu muhimu. Katatokea kasilaha kengine mbaya kuliko HIMARS
 
umeelewka so Russia mpaka sasa kashinda au kashindwa???
 
Russia hana wanajeshi wengi kama alivyokuwa akidanganya dunia kama ni wengi labda ni laki tatu tu na baada ya wengi kuuwawa Ukraine sasa ndio maana analazimisha vijana wajiandikishe kwenda vitani pamoja na wafungwa.

Putin hana siku nyingi kama rais wa taifa la Russia kwa sababu wengi wa wananchi hawataki kabisa hivi vita na hata wapambe wake wanamdanganya tu na mwisho watamtoa kafara.
 
1. kwanza in reality urusi anapambana na combination ya majeshi ya zaidi ya nchi 30 zenye nguvu kijeshi in ukraine jumlisha Facilities nyingine anazopewa ukraine ( Fedha, Silaha na intelijensia ) so kiuhalisia jeshi la urusi mpaka sasa hii vita imeshashinda kitambo tu, kilichonbaki ni kulinda maeneo waliyoyapata ukraine.

2. pili ni kuwa primary goal ya mobilization ni kulinda mipaka mipya ya urussi kutoka maeneo yaliyochukuliwa ukraine then secondary ni kama atashambuliwa ndani ya mipaka yake mipya ajibu inavyotakiwa.

3. wanaodai urusi ameshindwa vita wahoji ameshindwa vita kivipi wakati amechukua more than 20% of ukranian land na hao west wapo wanaangalia maana ameshawashinda kwenye uwanja wa vita tayari.
1) nitakupinga kidogo. Urusi hapigani na nchi 30.
Currently ni ukraine tu ndio yenye wanajeshi uwanja vita. Only vifaa tu ndio kutoka kwa nchi nyingine. Na hizo nchi hazijapeleka wanajeshi officialy
 
Uongo mtupu
1. kwanza in reality urusi anapambana na combination ya majeshi ya zaidi ya nchi 30 zenye nguvu kijeshi in ukraine jumlisha Facilities nyingine anazopewa ukraine ( Fedha, Silaha na intelijensia ) so kiuhalisia jeshi la urusi mpaka sasa hii vita imeshashinda kitambo tu, kilichonbaki ni kulinda maeneo waliyoyapata ukraine.

2. pili ni kuwa primary goal ya mobilization ni kulinda mipaka mipya ya urussi kutoka maeneo yaliyochukuliwa ukraine then secondary ni kama atashambuliwa ndani ya mipaka yake mipya ajibu inavyotakiwa.

3. wanaodai urusi ameshindwa vita wahoji ameshindwa vita kivipi wakati amechukua more than 20% of ukranian land na hao west wapo wanaangalia maana ameshawashinda kwenye uwanja wa vita tayari.
 
Pro Russia wana vihoja vya kitoto sana.
Hoja ya Russia kucheza mziki wa nchi 30 haina mashiko kwani
Russia pekee ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya in terms of surface area. Jiulize Uingerezaalitawala nchi ngapi mbona hazikufurukuta...
Issue hapo ni ubora katika kila kitu.
2. Maeneo anayoshikilia ni pro Russian, kwamba hata yenyewe hayaitaki Ukraine , yaan Russia kwenye hayo maeneo yupo nyumbani.
3. Ukweli utabaki ukweli bila nyuklia Russia ni wa kawaida.
Ana silaha Kali na nyingi sana ila kuna maamuzi na matendo anajichanganya anapasuka kizembe.
4. Mobilization simply means the losses they incurred. Wanaongezwa wajeshi kufidia waliokufa

TUWE WAPOLE PANDE ZOTE yaan waukraine wa buza na warusi wa buza baada ya miezi sita tena tokea leo tuone.
Russia will escalate ila Ukraine atapoa atamsubiri Russia ajae kwenye aweke kambi kubwa na miundo mbinu muhimu. Katatokea kasilaha kengine mbaya kuliko HIMARS
 
1. kwanza in reality urusi anapambana na combination ya majeshi ya zaidi ya nchi 30 zenye nguvu kijeshi in ukraine jumlisha Facilities nyingine anazopewa ukraine ( Fedha, Silaha na intelijensia ) so kiuhalisia jeshi la urusi mpaka sasa hii vita imeshashinda kitambo tu, kilichonbaki ni kulinda maeneo waliyoyapata ukraine.

2. pili ni kuwa primary goal ya mobilization ni kulinda mipaka mipya ya urussi kutoka maeneo yaliyochukuliwa ukraine then secondary ni kama atashambuliwa ndani ya mipaka yake mipya ajibu inavyotakiwa.

3. wanaodai urusi ameshindwa vita wahoji ameshindwa vita kivipi wakati amechukua more than 20% of ukranian land na hao west wapo wanaangalia maana ameshawashinda kwenye uwanja wa vita tayari.
Mbona hatujaaikia hayo majeshi 30 wanajeshi wake wamekufa vitani?
 
Umeeleza kwa hofu sana., jamaa ameuliza Urusi kutumia jeshi la akiba maana yake ni nini?? Jibu lake ni rahisi sana hata wewe nyumbani kwako unapoanza kutumia chakula chako cha akiba ama fedha za akiba maana yake ni kwamba kile ulichojipangia awali kimekwisha, sasa unaenda kula mtaji ama kama ni mkulima unaenda kula mbegu zako ulizokusudia kuziatika shambani lakini kwa sababu na shida ya ukame wa chakula unaenda kuzimega.

Ndivyo putini alivyojaribu kueleza umma kwamba amedhoofika kijeshi kwa kundi lake la awali sasa anaenda kuajiri vijana na kuwapa training ili awapeleke vitani. karibuni hivi aliwaandaa wafungwa aliwapa sharti la kuwafutia mashtaka lakini waende vitani.

Lakini suali linakuja je atafanikiwa? wataalamu wanatwambia ushindi kwa Putini ni 0.05%, na sababu ziko wazi, kama kabla alipeleka jeshi halisi na lenye weledi wa vita pamoja na makamanda wao na majenerali lakini wakaishia kuuliwa na kujeruhiwa kukubwa watawezaje vijana walioshikishwa bunduki siku 1 kwenda kupambana na Jeshi lilouwa baba zao ambao ni wanajeshi wako jeshini miaka nenda miaka rudi wakiwa full trained?

Ndio mana jana Marekani wameshusha pumzi pakubwa na kusema kwamba job well done, Maneno ya Putini yametafsiriwa kwamba sasa amekuwa dhaifu baada ya miezi 7 tu haikuchukua ata mwaka 1.
 
Habri wajomba nazn kunawale vpanga/wachambuzi wenye IQ zao tusaidiane hapa

1:- Kuiitisha jesh la akiba inamaana Jeshi kamili la urusi limemalzwa kwenye uwanja wa pambo..?

2:- Huu ni mwanzo wa vita kamili kwa mrusi zidi ya NATO

3:- JESHI kamili la mrusi (activ personal lipo )?

4:- Mrusi anawez kujishusha mwenyew kuacha vta hii au tunaenda katik vta ya maangamizi?
Akiba maana yake mkuu iko wazi na haihitiaji mdajala, maana yake ni kwamba ulichokuwa nacho kimekwisha sasa unaenda kutumia hakiba yako ili maisha yaende.

Vijana wa mtaani na wafungwa wanaenda kuwa mobilized, watapewa mafunzo ya kijeshi na wao wakajaribu bahati yao., lakini kama jeshi lao lilokuwa na uzoefu wa kutosha limegonga mwamba na kuuwawa je hao kurutu nao si wanaenda kuuliwa tu?

Hatua hii Marekani jana wamejibu kwamba sasa ni udhaifu ulio wazi kwa Putini, kaz itamalizika soon kule Ukrean mavamizi kwisha habari yao.
 
Umeeleza kwa hofu sana., jamaa ameuliza Urusi kutumia jeshi la akiba maana yake ni nini?? Jibu lake ni rahisi sana hata wewe nyumbani kwako unapoanza kutumia chakula chako cha akiba ama fedha za akiba maana yake ni kwamba kile ulichojipangia awali kimekwisha, sasa unaenda kula mtaji ama kama ni mkulima unaenda kula mbegu zako ulizokusudia kuziatika shambani lakini kwa sababu na shida ya ukame wa chakula unaenda kuzimega.

Ndivyo putini alivyojaribu kueleza umma kwamba amedhoofika kijeshi kwa kundi lake la awali sasa anaenda kuajiri vijana na kuwapa training ili awapeleke vitani. karibuni hivi aliwaandaa wafungwa aliwapa sharti la kuwafutia mashtaka lakini waende vitani.

Lakini suali linakuja je atafanikiwa? wataalamu wanatwambia ushindi kwa Putini ni 0.05%, na sababu ziko wazi, kama kabla alipeleka jeshi halisi na lenye weledi wa vita pamoja na makamanda wao na majenerali lakini wakaishia kuuliwa na kujeruhiwa kukubwa watawezaje vijana walioshikishwa bunduki siku 1 kwenda kupambana na Jeshi lilouwa baba zao ambao ni wanajeshi wako jeshini miaka nenda miaka rudi wakiwa full trained?

Ndio mana jana Marekani wameshusha pumzi pakubwa na kusema kwamba job well done, Maneno ya Putini yametafsiriwa kwamba sasa amekuwa dhaifu baada ya miezi 7 tu haikuchukua ata mwaka 1.
Asipokuelewa hapa achana naye
 
Back
Top Bottom