Kitendo cha Putin kuiitisha jeshi la akiba ni maana yake?

Kitendo cha Putin kuiitisha jeshi la akiba ni maana yake?

Mtu yupo nyumbani kwako ndani anakuchapa kisawa sawa. Utasemaje mtu huyo kashindwa vita!?
Kuna wabongo akili zao ni ndogo kama ...
Hasa haya yanayotetea Ukraine
 
Hoja ya Russia kucheza mziki wa nchi 30 haina mashiko kwani
Russia pekee ni kubwa mara nne zaidi kuliko ulaya in terms of surface area. Jiulize Uingerezaalitawala nchi ngapi mbona hazikufurukuta...
Issue hapo ni ubora katika kila kitu.
2. Maeneo anayoshikilia ni pro Russian, kwamba hata yenyewe hayaitaki Ukraine , yaan Russia kwenye hayo maeneo yupo nyumbani.
3. Ukweli utabaki ukweli bila nyuklia Russia ni wa kawaida.
Ana silaha Kali na nyingi sana ila kuna maamuzi na matendo anajichanganya anapasuka kizembe.
4. Mobilization simply means the losses they incurred. Wanaongezwa wajeshi kufidia waliokufa

TUWE WAPOLE PANDE ZOTE yaan waukraine wa buza na warusi wa buza baada ya miezi sita tena tokea leo tuone.
Russia will escalate ila Ukraine atapoa atamsubiri Russia ajae kwenye aweke kambi kubwa na miundo mbinu muhimu. Katatokea kasilaha kengine mbaya kuliko HIMARS
Ukubwa wa eneo haijawahi kuwa hoja ya kuwa na nguvu kijeshi au kiuchumi hata siku moja.
Ingekuwa ni hivyo basi sisi tungekuwa na nguvu kuzidi nchi nyingi za ulaya.
Russia anapigana vita na nchi ambayo inasupport kubwa kutoka kwa nchi nyingi zenye nguvu yani ni one against many.
Mimi ni team Putin, ila ukweli sasa naona mambo yameanza kwenda kombo. Russia ilifanikiwa kupambana hasa kwenye suala la vikwazo ambapo vikwazo vyao vili fireback nao wakapata shida na hata kijeshi alikuwa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa, ila kwa sasa nimeanza kuwa na mashaka kama ataweza kuendelea na hii operation kwa mafanikio kwa miezi mingine 6 zaidi.
Huenda gharama na mnapower zimemlemea
 
1:- Kuiitisha jesh la akiba inamaana Jeshi kamili la urusi limemalzwa kwenye uwanja wa pambo..?
Maana'ake askari Og wengi tayari wamefyekelewa mbali, sasa Putin anataka kuandaa na kupeleka askari wa kuokoteza wasio na uzoefu !!!

Ni rahisi tu kubashiri matokeo 😁
 
Back
Top Bottom