Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Sio kama hajaeleweka ila vita ni strategic! Urusi alishapeleka jeshi la akiba mpaka Syria au Wagner Group, Pia wapo baadhi ya nchi za Africa huku waliletwa kitambo sanaAsipokuelewa hapa achana naye
Sasa nikupe hbari kuwa Russia bado hajatumia jeshi lake ila huko Ukraine ana wale ambao wakitaka kujitenga ndani ya Donbas, Luhansk wana wanajeshi tele huko Ukraine ambao wako chini ya Russia, pia wana ao Wagner Group ambao ni wanajeshi wa kukodi amba wanamafunzo yote ya kivita pia ana Chechens hawa ni wanajeshi kabisa walio ndani ya ndani ya Russia ambao Russia anawatambua kama moja ya askari wake wa akiba.
Kwaio sio kama Russia kamaliza wanajeshi wake ila bado cos Russia ana tahadhali na NATO zaidi sio Ukraine mwenyewe kama mwenyewe.