Kitendo cha Putin kuiitisha jeshi la akiba ni maana yake?

Mtu yupo nyumbani kwako ndani anakuchapa kisawa sawa. Utasemaje mtu huyo kashindwa vita!?
Kuna wabongo akili zao ni ndogo kama ...
Hasa haya yanayotetea Ukraine
 
Ukubwa wa eneo haijawahi kuwa hoja ya kuwa na nguvu kijeshi au kiuchumi hata siku moja.
Ingekuwa ni hivyo basi sisi tungekuwa na nguvu kuzidi nchi nyingi za ulaya.
Russia anapigana vita na nchi ambayo inasupport kubwa kutoka kwa nchi nyingi zenye nguvu yani ni one against many.
Mimi ni team Putin, ila ukweli sasa naona mambo yameanza kwenda kombo. Russia ilifanikiwa kupambana hasa kwenye suala la vikwazo ambapo vikwazo vyao vili fireback nao wakapata shida na hata kijeshi alikuwa amefanikiwa kwa kiasi kikubwa, ila kwa sasa nimeanza kuwa na mashaka kama ataweza kuendelea na hii operation kwa mafanikio kwa miezi mingine 6 zaidi.
Huenda gharama na mnapower zimemlemea
 
1:- Kuiitisha jesh la akiba inamaana Jeshi kamili la urusi limemalzwa kwenye uwanja wa pambo..?
Maana'ake askari Og wengi tayari wamefyekelewa mbali, sasa Putin anataka kuandaa na kupeleka askari wa kuokoteza wasio na uzoefu !!!

Ni rahisi tu kubashiri matokeo 😁
 
Maana'ake askari Og wengi tayari wamefyekelewa mbali, sasa Putin anataka kuandaa na kupeleka askari wa kuokoteza wasio na uzoefu !!!

Ni rahisi tu kubashiri matokeo 😁
Umeandika kishabiki, ‘objectivity’ ndio msingi mzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…