Kitendo cha Serikali kuweka watu lockdown D9 kumechafua taswira ya nchi

Kitendo cha Serikali kuweka watu lockdown D9 kumechafua taswira ya nchi

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kitendo cha serikali haramu kuweka watu lockdown D9 wasijielezee kumechafua zaidi taswira ya nchi, huwezi kupewa misaada

kila kitu anchofanya ni zero brain kabisa anazima moto kwa patrol lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe na sio kitu kingine.
 
Hivi Hawa vilazza wanaohojiwa kwenye vyombo vya habari vya nyumbani ni wajinga kiasi Gani ?!
 
Nani alikuweka lockdown? Au ni nyumbu mliamua kujifungia ndani baada ya kuona kile kichapo mlichotembezewa kwenye yale maandamano uchwara ya wizi na uharibifu wa mali ni dozi kubwa kuliko ugonjwa wenu
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Attachments

  • 29288.jpg
    29288.jpg
    48.8 KB · Views: 20
Mlizoiba tarehe 29 oct vlikuwa vmeisha, mlitaka tena ufanya yenu ee?
Afadhali tuchafuke kuliko kuvumilia mlichofanya
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom