Wakuu,
Msikilizeni Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa anazungumza leo kuhusu suala zima la misaada. Mmenotice hajawaita mabeberu bali "wadau wa maendeleo?"
Ila najiuliza kama Tanzania tunajiweza tunapitishaga bakuli la nini? Au mabeberu wanatushobokea kutokana na "madini yetu" guys?
"Kwa...
Kitendo cha serikali haramu kuweka watu lockdown D9 wasijielezee kumechafua zaidi taswira ya nchi, huwezi kupewa misaada
kila kitu anchofanya ni zero brain kabisa anazima moto kwa patrol lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe na sio kitu kingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.