McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Msikilizeni Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa anazungumza leo kuhusu suala zima la misaada. Mmenotice hajawaita mabeberu bali "wadau wa maendeleo?"
Ila najiuliza kama Tanzania tunajiweza tunapitishaga bakuli la nini? Au mabeberu wanatushobokea kutokana na "madini yetu" guys?
"Kwa asilimia kubwa bajeti tunajitegemea na ndio maana wadau wetu wa maendeleo ambao wanachangia kwenye bajeti ya Serikali wakisema wanasitisha kutoa misaada tutasema tutazungumza nao wasisitishe lakini wakisitisha tutatumia fedha zetu kwa sababu sehemu kubwa ya bajeti inatokana na makusanyo yetu"