Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Ila hao Shilawadu wamezidi kuingilia privacy na maisha binafsi ya watu, japo vile vile simtetei Le mbabaz
 
Tena muandamane wiki nzima mfululizo mpaka mavitambi yaishe, shubamiti.. Mi niko nacho cha kuvalia shati wala hakikeri, nikiwa nimevaa nguo hakionekani labda mpaka niwe bila nguo
Kinakua hicho mkuu wewe jipe moyo
 
TATIZO HIKO KIPINDI WAASISI WAKE NI WALE 2 PEOPLE.. MIMI NAKIRI HKO KIPINDI SJAWAH KUKITIZAMA NAKISIKIA TU KWENYE MIJADALA KAMA.. Mtoto wa kiume unatizama kipindi cha kpuuzi ili iweje
 
Mbaya zaidi unaulizwa na mtoto mbele ya mkeo wkt na ww unacho
 
Kwahyo wataka kusema mtu akisema Kibamia sasa Hivi ni lemutuz..wao kuvaa bamia ni lemutuz kudhalilishwa
 
Shilawadu ni kipindi cha ovyo kabisa sijawahi ona. Hata nashangaa kwa nn mpk leo bado kinapata air coverage,sijui TCRA wapo usingizini.!!
 
Kwenye issue ya Gwajima walitaka kutumia kipindi hichohicho kumkomoa Leo hii yamewafika wao mnaanza kuwaona shilawadu wabaya.
Acheni unafiki mngeanza kukikataa toka wakati ule sio sababu sasa mnaumbuka.
Huyo lemutuz ndio alikuwa mmiliki wa mtandao wa ze utamu kashafanya kashfa nyingi sana mpk ikafungiwa.
 
Sisi ni wajinga tunaojitengenezea ujinga wenyewe
 
That mins kutakuwa na ongezeko la single moms na watt wa nje ya ndoa na wanawake wanaotaman kuolewa wengiii mana competion itakuwa kubwa sana ya kutaka mihogo na ukizngatia wanaume ni wachache...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…