Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

haya mambo yalianza zaman "mhogo wa jang'ombe"
 
Yani huyo Le mutuz atulie aacha kujidhalilisha
 
kweli Le superbrand kaanza mwaka "with a bang!"
 
Wakuu,hivi hiyo stor ya le super kibamia ilianzaje mpaka ikamwangukia super bebez..
 
Sikubaliani na wewe hapo kwenye namba moja...
KIPINDI KINAANZA SAA NGAPI HADI SAA NGAPI? Unajuwa vipindi vinavyoruhusiwa kurushwa usikuwa wa saa tatu na kuendelea content zake zinakuwaje?

Unakaaje na mwanao kuangalia kipindi cha UMBEYA?

Unakaaje na mwanao kuangalia kipindi kinachoanza saa tatu hadi saa sita usiku?
 
Wale nao sijui hawana kazi ingine umbea waufanyao sijui faida yake ni nini
 
Zaidi kuna watu wanadhalilika sana na kile kipindi
 
Jana nilikuwa pale cape town fish market gafla nikamuona lemutuz anaingie na kademu flan hapo hapo nikaanza kuona watu wanabonyezana kiba100
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…