Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

2e968eb754ea991e4b141ecff65346e5.jpg
Mkuu umetuka nini? Imegoma kufunguka.
 
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.

Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.

Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.

Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?

Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Ni kweli kabisa Shilawadu imeshapoteza mvuto kwani Wahenga wamesema mchamba sana mwisho hutoa kinyesi na mgema ukimsifia mwishoe tembo hulitia maji, kwa kweli kipindi kina wapenzi wengi lakini jinsi kinavyopoteza mwelekeo wengi tumeanza kukikwepa kwani huwezi kukiangalia ukiwa na watu unaowaheshimu maana maneno kama kwichikwichi, kibamia nk. Definitely puzzlement.
 
Mwambie Lemutuz ajieshim sio kulalamikia shilawadu zile ni kaz za watu.
 
Pia tunasahau.kuwa hayo ni maumbile jamani ni kitu kiko juu ya uwezo wake kurekebisha.Naona kama demoralization flani hivi.Na huyo mtu mzima aache mambo ya kitoto maana angekuwa na familia yake haya yangemkutia wapi kwa mfano.
 
Kwani asee, hata kama ni kweli, huyo ni matumizi mabaya ya tv, kumdhalilisha mtu ambaye hana tv ya kukudhalilisha pia.
Wamemdhalilisha nani?!!.......walimtaja kwa jina? Naona wapambe ndio mnaumia wakati le mutuz mwenyewe anafurahia kupata kiki. Kwa akili ya kawaida tu ukiangalia vimiguu vya mtetewa utaona kabisa viungo vya mwili wake vimekosa uwiano na hii inatokana na kutumia muda mwingi wa ujana wake akiishi melini!
 
Mkuu ngoja nikujibu vitu viwili
1.ndio wamemtaja na picha yake wameiweka huko insta
2.le mutuz kwan ww humjui ni special group ? Lazima asaidiwe kuongea ,mwenzio unyama aliofanyiwa anaona fresh tu,mkuu sijui umri wako ila i guess le mutuz ana umri kama wa baba yako au hata baba mkwe wako,je wangefanyiwa wao unyama huo ungekaa kimya ? Le mutuz ni mjinga bt kwenye hili laxima tuseme kadhalilishwa na something must be done ,
It is my hope mkuu umenielewa
 
Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.

Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.

Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.

Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?

Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
CCM mnalalamika daaah na vibamia vyenu...Le Mutuz, Le Makondaz, Le Polepolez, Le diktetaz...wote vibamia, pumbv!
 
He kumbe lile lilikua dongo kwa mtu? Mi niliona kipindi ckuelewa nikajua wanajifurahisha..na walijuaje kama jamaa ni kiba100? Au alijiself dudu?
 
Mkuu ngoja nikujibu vitu viwili
1.ndio wamemtaja na picha yake wameiweka huko insta
2.le mutuz kwan ww humjui ni special group ? Lazima asaidiwe kuongea ,mwenzio unyama aliofanyiwa anaona fresh tu,mkuu sijui umri wako ila i guess le mutuz ana umri kama wa baba yako au hata baba mkwe wako,je wangefanyiwa wao unyama huo ungekaa kimya ? Le mutuz ni mjinga bt kwenye hili laxima tuseme kadhalilishwa na something must be done ,
It is my hope mkuu umenielewa
Mjinga huwa hadhaririki hata siku moja, na huyo bwana mdogo le mutuz anakula matunda ya ujinga wake!
 
Tatizo hamuelewi . Le mutuz ye mwenyewe hajui kama ana kibamia ndio maana anabadili nguo mbele ya changu. Kwanini hajui ni kwa sababu hawezi kuona u bo o wake mana tumbo ni kubwa sana. Akijichungulia anaona tumbo. Sa inawezekana yeye hizi taarifa hana mpaka alipopigwa picha ndo akajiona
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Subirini vibamia vya kwenu vikibahatika kuonekana!
Hapo ndo vitaitwa Bilinganya!
 
Pia tunasahau.kuwa hayo ni maumbile jamani ni kitu kiko juu ya uwezo wake kurekebisha.Naona kama demoralization flani hivi.Na huyo mtu mzima aache mambo ya kitoto maana angekuwa na familia yake haya yangemkutia wapi kwa mfano.
Sasa hio familia anaipataje nakile kidude??
 
Wa laaniwe wale wote wanaoiyona kazi ya Mungu ni makosa......Mungu hakosei......
 
Back
Top Bottom