Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mkuu umetuka nini? Imegoma kufunguka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umetuka nini? Imegoma kufunguka.
Ni kweli kabisa Shilawadu imeshapoteza mvuto kwani Wahenga wamesema mchamba sana mwisho hutoa kinyesi na mgema ukimsifia mwishoe tembo hulitia maji, kwa kweli kipindi kina wapenzi wengi lakini jinsi kinavyopoteza mwelekeo wengi tumeanza kukikwepa kwani huwezi kukiangalia ukiwa na watu unaowaheshimu maana maneno kama kwichikwichi, kibamia nk. Definitely puzzlement.Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Wamemdhalilisha nani?!!.......walimtaja kwa jina? Naona wapambe ndio mnaumia wakati le mutuz mwenyewe anafurahia kupata kiki. Kwa akili ya kawaida tu ukiangalia vimiguu vya mtetewa utaona kabisa viungo vya mwili wake vimekosa uwiano na hii inatokana na kutumia muda mwingi wa ujana wake akiishi melini!Kwani asee, hata kama ni kweli, huyo ni matumizi mabaya ya tv, kumdhalilisha mtu ambaye hana tv ya kukudhalilisha pia.
Mkuu ngoja nikujibu vitu viwiliWamemdhalilisha nani?!!.......walimtaja kwa jina? Naona wapambe ndio mnaumia wakati le mutuz mwenyewe anafurahia kupata kiki. Kwa akili ya kawaida tu ukiangalia vimiguu vya mtetewa utaona kabisa viungo vya mwili wake vimekosa uwiano na hii inatokana na kutumia muda mwingi wa ujana wake akiishi melini!
Huyo Le Mutuz ni bingwa pia wa bullying,bahati mbaya kwake ni kwamba round hii kashikwa sehemu nyeti.Kifupi ni kwamba sasa hivi kapigwa TKO,zile matata za Roy Jones Jr.What is happenings is cyber bullying. Namshauri victim akashitaki
CCM mnalalamika daaah na vibamia vyenu...Le Mutuz, Le Makondaz, Le Polepolez, Le diktetaz...wote vibamia, pumbv!Kitendo cha Shilawadu jana kufanya neno "kibamia" kieleweke hata kwa watoto wa primary ni cha kulaaniwa.
Leo nimeshuhudia vitoto vikielezana maana ya kibamia baada ya mama muuza mbogamboga kupita mtaani.
Kiukweli neno kibamia ilikua ni tafsida ambayo haikupata kuwekwa hadharani kila mtu ajue.
Sasa hivi vitoto tena vya kike vilikua vinacheka kuona vibamia vidogo, ukubwani mwao watataka mtu mwenye maumbile gani!?
Huu si mmomonyoko wa maadili ambao unachangia na vyombo vya habari, bila kujua.
Mjinga huwa hadhaririki hata siku moja, na huyo bwana mdogo le mutuz anakula matunda ya ujinga wake!Mkuu ngoja nikujibu vitu viwili
1.ndio wamemtaja na picha yake wameiweka huko insta
2.le mutuz kwan ww humjui ni special group ? Lazima asaidiwe kuongea ,mwenzio unyama aliofanyiwa anaona fresh tu,mkuu sijui umri wako ila i guess le mutuz ana umri kama wa baba yako au hata baba mkwe wako,je wangefanyiwa wao unyama huo ungekaa kimya ? Le mutuz ni mjinga bt kwenye hili laxima tuseme kadhalilishwa na something must be done ,
It is my hope mkuu umenielewa
Kweli mkuu,but regacy ya mzee wake inakufaMjinga huwa hadhaririki hata siku moja, na huyo bwana mdogo le mutuz anakula matunda ya ujinga wake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo hamuelewi . Le mutuz ye mwenyewe hajui kama ana kibamia ndio maana anabadili nguo mbele ya changu. Kwanini hajui ni kwa sababu hawezi kuona u bo o wake mana tumbo ni kubwa sana. Akijichungulia anaona tumbo. Sa inawezekana yeye hizi taarifa hana mpaka alipopigwa picha ndo akajiona
Sasa hio familia anaipataje nakile kidude??Pia tunasahau.kuwa hayo ni maumbile jamani ni kitu kiko juu ya uwezo wake kurekebisha.Naona kama demoralization flani hivi.Na huyo mtu mzima aache mambo ya kitoto maana angekuwa na familia yake haya yangemkutia wapi kwa mfano.