Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba, tff, na polisi wachukue hatua za haraka Sana kuwakamata na kuwafungulia mashtaka hao makomandooSasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki uwanjani.
Hao mnaowaita makomandoo hawajui lolote kuhusu soka wala sheria za soka acheni umbumbumbu
Simba mmelitia doa soka letu na nchi yetu inayosifika kwa amani doa kubwa sana.
Badilikeni mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete ushahidi waliofanya kitendo hicho ni wana simba, tusipende kulichafua taifa,Wewe ulielijua zamani naona una kombe la dunia hapo kwenye maktaba yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nishaa watag CAF na FIFA zile video!
Tuwekee hizo clips mkuuSasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki uwanjani.
Hao mnaowaita makomandoo hawajui lolote kuhusu soka wala sheria za soka acheni umbumbumbu
Simba mmelitia doa soka letu na nchi yetu inayosifika kwa amani doa kubwa sana.
Badilikeni mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumwa na zahera shoga mwenzio wa kikeSasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki uwanjani.
Hao mnaowaita makomandoo hawajui lolote kuhusu soka wala sheria za soka acheni umbumbumbu
Simba mmelitia doa soka letu na nchi yetu inayosifika kwa amani doa kubwa sana.
Badilikeni mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba watanyang'anywa ushindi.Sasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki uwanjani.