Kakate rufaa ila Simba ndo hivyo robo finali.. KamweneeeSasa naanza kuelewa kwanini rage aliwaita simba mbumbumbu....zile video clips zikiwafikia CAF mtajiweka kwenye position mbaya sana nyinyi mbumbumbu..ndio mwanzo wakuanza kucheza bila mashabiki uwanjani.
Hao mnaowaita makomandoo hawajui lolote kuhusu soka wala sheria za soka acheni umbumbumbu
Simba mmelitia doa soka letu na nchi yetu inayosifika kwa amani doa kubwa sana.
Badilikeni mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app