GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Siku zingine muwe na Akili tafadhalini. Klabu ya Simba haijaachana na Mchezaji Gerson Fraga kwa Chuki, Ugomvi au Majungu bali ni kwa 'Mutual Termination of a Contract' ambayo imehusisha pande zote mbili na zikakubaliana. Hivi utawezaje Kukaa na Mchezaji ambaye hutomtumia 'for the rest of the Season' huku ukiwa unamlipa Tsh Milioni Saba kila Mwezi?GENTAMYCINE karibu sana ulitolee ufafanuzi
Ilichokifanya Simba SC ni kuachana nae tu 'Kiungwana' huku wakimlipa Pesa kidogo kwa 'Percentage' fulani Kimkataba kisha wanamnunua ( wanamsajili ) Mchezaji mwingine mahiri kama Yeye wa nafasi yake na ambavyo wamefanya tayari kwa Kumsajili 'Uganda's Cranes Defensive Midfielder' Thaddeo Lwanga ambaye kuna hatari kwa uwezo wake mkubwa Uwanjani Simba SC tukamsahau upesi Fraga.
Na ili uone kuwa Klabu ya Simba haina 'Uswahili' na inaendeshwa 'Kiustaarabu' huyo Frage mwenyewe ameridhia Maamuzi ya Klabu lakini kama haitoshi bado pia anaendelea Kuwasiliana vyema na Mashabiki wa Simba SC Mitandaoni huku akiwatakia Mafanikio katika kila Mechi zao. Hivi Simba SC ingemtekeleza au kumsusia kwa Mchezaji Mweledi na anayejitambua vyema Kisheria na Mikataba angenyamaza?
Acheni Majungu yenu tafadhali!