Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

Infiltrator

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
211
Reaction score
339
Shalom

WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.

Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:

Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.

Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.

Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.

Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.

Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.

Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.

Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪

Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?

Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.

Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
 
Chadema imekosa msimamo.Wamekuwa vigeugeu.Uongozi bora haupo chadema.
 
Hayo ni mawazo yako Mkuu.
 
Una point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!

All in all, bado chadema iko Imara kuliko jana!
 
Shida yako hapo ni nini. Hoja wanazotoa polepole na gwajima zina mashiko au hazina mashiko?
 
Sio kila vita lazima kupigana. Wao wanavita yao na CCM kuna haja gani kwa chadema kuwatetea CCM.

Sugu na Chadema wapo sahihi, adui wa adui yako ni rafiki yako.

Kuwashambulia Gwajima na Polepole wakati huu ni kupunguza nguvu ya kushambulia CCM ambaye ndiye adui mkuu wa taifa kwa sasa?

Sayansi ya kuchagua upande inapimwa na matokeo. Ikiwa Chadema itaunga mkono Gwajima na Polepole au kutokuwaunga mkono yapi manufaa yalipo.

Wametubu basi hatupingani nao ila hatushirikiani nao. Over
 
Siasa ni SAYANSI na ina kanuni zake kama ilivyo kwenye Fizikia.

Hakuna urafiki wa kudumu katika siasa!
Hakuna uadui wa kudumu katika siasa!
Siasa ni mchezo wa hatari unaowataka wauchezao kusoma alama za nyakati na kujishabihisha nazo. Inabidi umtambue vizuri unayepambana naye na ikibidi uungane na wote wanaopambana naye kama malengo yenu yanafanana. Uking'ang'ania visasi na makosa ya nyuma, hutaweza kufanya siasa.

Kama Lisu na CHADEMA wameweza kumsamehe Polepole basi inaonyesha ukomavu mkubwa wa kisiasa; na hili ni jambo jema kwa CHAMA. Inaonyesha kwamba wako focused na adui yao numbero uno (CCM) na wako tayari kuungana na ye yote katika mapambano yao ya sasa. Huko mbele ya safari lo lote linaweza kutokea. Siasa!
 
Shida yako hapo ni nini. Hoja wanazotoa polepole na gwajima zina mashiko au hazina mashiko?

Una point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!

All in all, bado chadema iko Imara kuliko jana!
Mipasuko ipo
 
Shalom

WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.

Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:

Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.

Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.

Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.

Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.

Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.

Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.

Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪

Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?

Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.

Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
Nenda ukamshitaki kwa Msajili wa vyama usitupigie kelele humu
 
Una point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!

All in all, bado chadema iko Imara kuliko jana!
Mkuu huyo ni mccm achana naye analeta uchochezi tu, sisi furaha yetu ni kuwa CCM wanaumana wajibu wetu ni kukoleza huo moto kama alivyofanya sugu, wacha yauane tu haya maccm
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Ok wewe tuambie umekuja kumsafisha nani hapa pia na kueleza mchafu ni nani.

Make it make sense.
 
Shalom

WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.

Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:

Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.

Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.

Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.

Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.

Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.

Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.

Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪

Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?

Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.

Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
Wewe ni Zezeta kabisa, Kwenye Siasa AKUNA ADUI wa kudumu, kama msimamo wa Pole Pole na Gwajima vinaendana na vile chadema/ Kuna Ubaya Gani Chadema Wakawaunga mkono kina gwaji boy na slow slow? Wewe Tunakujua ni Yale Masalia ya Dj mbowe
 
Back
Top Bottom