Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

Una point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!

All in all, bado chadema iko Imara kuliko jana!
Mbowe alizingua sana kuleta uadui badala ya ushirikiano na kujenga heshima yake na ya chama. Chadema ilikuwa ndio kimbilio pekee la watnzania tamaa ya pesa ikamponza. N way chadema bado iko imara na tunaipenda japo inapitia kipindi kigumu tutasimama nayo mpaka kieleweke
 
Shalom

WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.

Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:

Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.

Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.

Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.

Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.

Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.

Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.

Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪

Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?

Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.

Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.

ninyi hamjaelewa kinachoendelea tulieni. Mungu Yuko kazini. Wahuni wasambaratishwe kwa silaha yeyote. Humphrey Polepole ni mmoja ya watu wachache wanaolifaa sana taifa kwa sasa. Amesema Taifa kwanza ccm baadaye(jambo hili ni kubwa)
 
Chadema haipambani kwa faida yake peke yake bali inapambana kwa ajili ya taifa na yeyote anaepambana kulikomboa taifa chadema inamuona ni mpiganaji mwenza. Kama gwajboy na slow slow wngekuwa wamejipanga kumshambulia chadema kisha sugu akawapongeza ningemshaanga but wote adui yao ni mmoja why sugu asiwapongeze?
Cha kuwashauli chadema ni kubuni mbinu mpya za kuendeleza mapambono ya kisiasa kwa njia mbadala mfano social network nk
 
Chadema haipambani kwa faida yake peke yake bali inapambana kwa ajili ya taifa na yeyote anaepambana kulikomboa taifa chadema inamuona ni mpiganaji mwenza. Kama gwajboy na slow slow wngekuwa wamejipanga kumshambulia chadema kisha sugu akawapongeza ningemshaanga but wote adui yao ni mmoja why sugu asiwapongeze?
Cha kuwashauli chadema ni kubuni mbinu mpya za kuendeleza mapambono ya kisiasa kwa njia mbadala mfano social network
 
Ni kama tu Yale ya msigwa na ccm yeyote akija upande wako unapaswa kuungana nae mkisha muangusha adui ndipo mtakaguana
 
Paulo alikua Muuaji pia, Ila sasa hivi ni reference ya matendo mema
Pole pole ana kibri sana na selfish yuko tayari kufanya lolote ili malengo yake yatimie. Kitendo cha serikali ya samia kumkaushia amechachnganyikiwa
 
Fafanua kiburi chake na huo uselfish wake ni upi. Nadhani Mtu Selfish ni Samia aliyejipitisha kibabe na anayelazimisha kutawala watu wasiomtaka.
 
Ni selfish kwa sabanu enzi za jpm alikuwa mungu mtu hakutaka kabisa kuona upinzani. Hata chadema walivyofanya mkutano pale mlimani city aliwapigia azam na itv wasirushe mkutano wao. Under him watu wamesuffer sana. Akina sabaya wametobia sana watu macho kwa bisibisi lakini pole pole kama mwenezi aliona sawa tu
 
So hayo yanahalalisha uharamia unaofanyika sasa hivi?
 
Uliwahi kumskia lini Samia akikemea utekaji na mauaji ya Raia?
Uliwahi kumsikia wapi jpm akikemea uharamia au polepole. Kwa nini leo. Conclusion ni kwamba amekosa upenyo kwenye serikali hii hivyo ameona mbwai na iwe mbwai
 
JPM alikemea tena kwa ukali kabisa. Alimuuliza RPC flani kwa nini watoto wako hawapotei, angepotea mke wako ungekaa kimya? Nadhani unakumbuka
 
Yaani anaua huku anakemea. Ule ndo unafiki uliopitiliza ndo mana Mungu akaamua watu watu wasiendelee kuisha
 
Uliwahi kumsikia wapi jpm akikemea uharamia au polepole. Kwa nini leo. Conclusion ni kwamba amekosa upenyo kwenye serikali hii hivyo ameona mbwai na iwe mbwai
 
Shalom

WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.

Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:

Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.

Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.

Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.

Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.

Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.

Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.

Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪

Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?

Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.

Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
Kuna msemo "Baniani mbaya kiatu chake dawa." Mtu hawezi kukosea/kuwa mbaya kwa kila kitu hata the way he/she goes to a toilet.
 
Back
Top Bottom