Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 211
- 339
Chadema imekosa msimamo.Wamekuwa vigeugeu.Uongozi bora haupo chadema.Shalom
WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.
Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:
Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.
Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.
Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.
Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.
Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.
Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.
Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪
Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?
Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.
Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
Hayo ni mawazo yako Mkuu.Shalom

Inauma sana kuona Chadema ina mazezeta wengi kuliko CCM tunaotaka kuwatoa.Chadema imekosa msimamo.Wamekuwa vigeugeu.
Una point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!Shalom
WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.
Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:
Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.
Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.
Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.
Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.
Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.
Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.
Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪
Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?
Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.
Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
Shida yako hapo ni nini. Hoja wanazotoa polepole na gwajima zina mashiko au hazina mashiko?Shalom

Ombwe la Mbowe linaonekana.Inauma sana kuona Chadema ina mazezeta wengi kuliko CCM tunaotaka kuwatoa.
Hoja zao kubeba mashiko kunafuta dhambi zao? Je, Ben saa 8 atarudi? Azory Gwanda atarudi?Shida yako hapo ni nini. Hoja wanazotoa polepole na gwajima zina mashiko au hazina mashiko?
Shida yako hapo ni nini. Hoja wanazotoa polepole na gwajima zina mashiko au hazina mashiko?
Mipasuko ipoUna point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!
All in all, bado chadema iko Imara kuliko jana!
Nenda ukamshitaki kwa Msajili wa vyama usitupigie kelele humuShalom
WanaJF, tuwe wakweli!! Kauli ya Sugu kwamba “tume wasamehe Gwajima na Polepole” ni usaliti mkubwa kwa wanachama wa CHADEMA na wazalendo wa taifa hili.
Makosa ya Humphrey Polepole yapo wazi:
Alikuwa kinara wa kubana demokrasia nchini, akitumia nafasi yake ndani ya CCM kuua sauti za upinzani.
Aliratibu na kushiriki kwenye wizi mkubwa wa uchaguzi (Uchafuzi) wa 2020, ambapo maelfu ya kura za wananchi zilipotezwa na haki ya wapiga kura ikibakwa mchana kweupe.
Polepole alihusishwa na kupokea rushwa kutoka kwa wagombea wa CCM waliotaka kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani mwaka 2020.
Aidha, jina lake limehusishwa mara kadhaa kuratibu na kusimamia kifo cha Ben Saa 8 na Azory Gwanda, matukio yaliyoumiza na kuacha doa lisilofutika katika historia ya taifa.
Kwa upande wa Josephat Gwajima, naye ni mtu ambaye misimamo yake haiendani kabisa na falsafa ya CHADEMA.
Wakati CHADEMA ni chama cha Watanzania wa dini zote, Gwajima mara zote amejipambanua kwa kuwagawa watu kwa misingi ya imani za kidini. Hatari ya kumpa nafasi ni kuingiza siasa za udini ndani ya chama ambacho kimejengwa juu ya msingi wa Umoja na Demokrasia.
Sasa leo hii Sugu anakuja mbele ya vyombo vya habari na kusema “tume wasamehe.” 😪
Ni nani alimpa mamlaka hayo? Ni wanachama wa CHADEMA? Ni wananchi walioteseka chini ya mfumo wa mabavu wa Polepole na wenzake?
Hapana! Hii ni dalili ya wazi kwamba Sugu ameingia makubaliano ya siri na genge la watu aliowaita maadui hapo nyuma, kwa lengo la kujinufaisha binafsi.
Hii kauli si msamaha wa chama, si msamaha wa wazalendo. Ni dili la kisaliti linalolenga kuwasafisha wahalifu wa demokrasia kupitia mgongo wa wananchi.
Uhuni wa FAM upo uchiOmbwe la Mbowe linaonekana.
Mkuu huyo ni mccm achana naye analeta uchochezi tu, sisi furaha yetu ni kuwa CCM wanaumana wajibu wetu ni kukoleza huo moto kama alivyofanya sugu, wacha yauane tu haya maccmUna point kubwa, ila kwa sasa ngoja tupambane na CCM, tusiingize mipasuko tena Chadema kama walivyofanya akina Mbowe na Lisu kwenye chaguzi! Kama mmoja wao angelikubali kuwa down chadema ingelikuwa bado iko intact kuliko leo!
All in all, bado chadema iko Imara kuliko jana!
ZINA MSHIKO MAKUBWA..........Shida yako hapo ni nini. Hoja wanazotoa polepole na gwajima zina mashiko au hazina mashiko?
Wewe ni Zezeta kabisa, Kwenye Siasa AKUNA ADUI wa kudumu, kama msimamo wa Pole Pole na Gwajima vinaendana na vile chadema/ Kuna Ubaya Gani Chadema Wakawaunga mkono kina gwaji boy na slow slow? Wewe Tunakujua ni Yale Masalia ya Dj mboweShalom