Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

Mbona babu Wasira alikuwa NCCR Mageuzi lakini leo hii ni Makamu Mwenyekiti wenu Taifa? Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, sisi tunazidi kuchochea kuni ili muunguzane hadi mbakie majivu tu wahuni wakubwa nyie.
 
Mimi usiniweke humo kwenye upuuzi wako. Mimi hajanisaliti kwa lolote! Kama mama yenu ameweza kusamehe lile dubwasha lenye puto tumboni sisi ni akina nani tusiwasamehe akina Polepole?
 
Leo Polepole kaomba msamaha wewe ni nani usisamehe
 
Chadema imekosa msimamo.Wamekuwa vigeugeu.Uongozi bura haupo chadema.
Uongozi bora upo ccm? Kule ambapo mwaka juzi singasinga aliitwa mhujumu uchumi na akalipa pesa ya plea bargaining ili atoke . Juzi anaalikwa kwenda kwenye HARAMBEE? Huu ndiyo MSIMAMO wa ccm au siyo
 
Dili na kabachor na Singasinga udevu wa silver, mwache Polepole aturahisishie ya ndani kule, na kumlaumu Polepole unamuonea tu, alikuwa mwenezi wa chama akuwa mtendaji serikalini
 
Wewe uwe wa kike au kiume,una shida kubwa sana.Msikilize Sugu upya.
Status quo kwa tulipofikishwa haitaliokoa TAIFA la Tanzania.
Wananchi tutamuelewa mtu yoyote anayeongelea kutoka Nchi bila kujali alifanya Nini ,lini na wapi...
 
Kikwete anayetukanwa na kusimangwa na baadhi ya wanachadema leo hii akikinzana na sisiemu wanachadema waliowengi wataungana naye
 
CHADEMA haohao walimsafisha Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea Urais,
Vipi na wao tungeshikilia msimamo wa kutowasamehe walioratibu hilo zoezi?
 
Sugu ni mfanyabiasha na anajali maslahi,kwa yoyote anayehisi atapata maslahi kutoka kwake lazima alalie upande wake.
 

Hata EL ilisemwa hivihivi.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Leo Humphrey Polepole akisema anagombea uRais CHADEMA au Mafwele anagombea Ubunge watampa tu eti kwa kisingizio cha kuinanga CCM. Huo ndiyo ujinga wao
 
Hata Kesho bwana Paul Makonda akienda tofauti na CCM na kuamua kuwashambulia kama kawaida tutamsamehe na kumsafisha.

EL aligeuka kuwa kiongozi wa ukombozi ghafla baada ya kuwa fisadi kwa muda mrefu.

Ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Wewe ni Zezeta kabisa, Kwenye Siasa AKUNA ADUI wa kudumu, kama msimamo wa Pole Pole na Gwajima vinaendana na vile chadema/ Kuna Ubaya Gani Chadema Wakawaunga mkono kina na gwaji boy na slow slow? Wewe Tunakujua ni Yale Masalia ya Dj mbowe
Wafuasi wa chadema hii kauli mnaipendaga kuitumia pale ambapo mwana ccm anaongea mambo yakuisema ccm ila ikitokea mtu wa chama kingine cha upinzani kaunga mkono jambo lolote la ccm mnaibuka na kauli za kusema ni msaliti mara ccm b na ujinga mwingine mwingi.Kama siasa hazina adui wa kudumu basi ata vyama vingine vinavyoamua kushiriki uchaguzi au kuunga mkono mambo ya ccm basi tukubali nawao dhana ni hiyo hiyo kua siasa hazina adui wa kudumu.
 
Leo Humphrey Polepole akisema anagombea uRais CHADEMA au Mafwele anagombea Ubunge watampa tu eti kwa kisingizio cha kuinanga CCM. Huo ndiyo ujinga wao
Wana mihemko sana hawa jamaa.Alafu ndio wanawaza kuitoa ccm madarakani.Labda kwa ndoto.
 
Leo Humphrey Polepole akisema anagombea uRais CHADEMA au Mafwele anagombea Ubunge watampa tu eti kwa kisingizio cha kuinanga CCM. Huo ndiyo ujinga wao
Hata CCM mlichukua wana Chadema mkawapa na Uwaziri kabisa hivyo hakuna jipya kama mumeumia sana nendeni mkafungue kesi Mahakamani au kwa Masajili wa vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…