Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

Mbowe alizingua sana kuleta uadui badala ya ushirikiano na kujenga heshima yake na ya chama. Chadema ilikuwa ndio kimbilio pekee la watnzania tamaa ya pesa ikamponza. N way chadema bado iko imara na tunaipenda japo inapitia kipindi kigumu tutasimama nayo mpaka kieleweke
 

ninyi hamjaelewa kinachoendelea tulieni. Mungu Yuko kazini. Wahuni wasambaratishwe kwa silaha yeyote. Humphrey Polepole ni mmoja ya watu wachache wanaolifaa sana taifa kwa sasa. Amesema Taifa kwanza ccm baadaye(jambo hili ni kubwa)
 
Chadema haipambani kwa faida yake peke yake bali inapambana kwa ajili ya taifa na yeyote anaepambana kulikomboa taifa chadema inamuona ni mpiganaji mwenza. Kama gwajboy na slow slow wngekuwa wamejipanga kumshambulia chadema kisha sugu akawapongeza ningemshaanga but wote adui yao ni mmoja why sugu asiwapongeze?
Cha kuwashauli chadema ni kubuni mbinu mpya za kuendeleza mapambono ya kisiasa kwa njia mbadala mfano social network nk
 
Chadema haipambani kwa faida yake peke yake bali inapambana kwa ajili ya taifa na yeyote anaepambana kulikomboa taifa chadema inamuona ni mpiganaji mwenza. Kama gwajboy na slow slow wngekuwa wamejipanga kumshambulia chadema kisha sugu akawapongeza ningemshaanga but wote adui yao ni mmoja why sugu asiwapongeze?
Cha kuwashauli chadema ni kubuni mbinu mpya za kuendeleza mapambono ya kisiasa kwa njia mbadala mfano social network
 
Ni kama tu Yale ya msigwa na ccm yeyote akija upande wako unapaswa kuungana nae mkisha muangusha adui ndipo mtakaguana
 
Paulo alikua Muuaji pia, Ila sasa hivi ni reference ya matendo mema
Pole pole ana kibri sana na selfish yuko tayari kufanya lolote ili malengo yake yatimie. Kitendo cha serikali ya samia kumkaushia amechachnganyikiwa
 
Pole pole ana kibri sana na selfish yuko tayari kufanya lolote ili malengo yake yatimie. Kitendo cha serikali ya samia kumkaushia amechachnganyikiwa
Fafanua kiburi chake na huo uselfish wake ni upi. Nadhani Mtu Selfish ni Samia aliyejipitisha kibabe na anayelazimisha kutawala watu wasiomtaka.
 
Fafanua kiburi chake na huo uselfish wake ni upi. Nadhani Mtu Selfish ni Samia aliyejipitisha kibabe na anayelazimisha kutawala watu wasiomtaka.
Ni selfish kwa sabanu enzi za jpm alikuwa mungu mtu hakutaka kabisa kuona upinzani. Hata chadema walivyofanya mkutano pale mlimani city aliwapigia azam na itv wasirushe mkutano wao. Under him watu wamesuffer sana. Akina sabaya wametobia sana watu macho kwa bisibisi lakini pole pole kama mwenezi aliona sawa tu
 
So hayo yanahalalisha uharamia unaofanyika sasa hivi?
 
Uliwahi kumskia lini Samia akikemea utekaji na mauaji ya Raia?
Uliwahi kumsikia wapi jpm akikemea uharamia au polepole. Kwa nini leo. Conclusion ni kwamba amekosa upenyo kwenye serikali hii hivyo ameona mbwai na iwe mbwai
 
Uliwahi kumsikia wapi jpm akikemea uharamia au polepole. Kwa nini leo. Conclusion ni kwamba amekosa upenyo kwenye serikali hii hivyo ameona mbwai na iwe mbwai
JPM alikemea tena kwa ukali kabisa. Alimuuliza RPC flani kwa nini watoto wako hawapotei, angepotea mke wako ungekaa kimya? Nadhani unakumbuka
 
JPM alikemea tena kwa ukali kabisa. Alimuuliza RPC flani kwa nini watoto wako hawapotei, angepotea mke wako ungekaa kimya? Nadhani unakumbuka
Yaani anaua huku anakemea. Ule ndo unafiki uliopitiliza ndo mana Mungu akaamua watu watu wasiendelee kuisha
 
Uliwahi kumsikia wapi jpm akikemea uharamia au polepole. Kwa nini leo. Conclusion ni kwamba amekosa upenyo kwenye serikali hii hivyo ameona mbwai na iwe mbwai
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna msemo "Baniani mbaya kiatu chake dawa." Mtu hawezi kukosea/kuwa mbaya kwa kila kitu hata the way he/she goes to a toilet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…