Kitendo cha Sugu kumsafisha Polepole na Gwajima ni kuuza pambano

Unafiki huu. Anaua halafu anawadanganya watu. Aliwaona watanzania ni wajinga sana. Kwanza ndo aliharibu nchi kiasi ambacho hata bungu likawa butu. Likawa ccm tu ambao hawakuwa na mchango wowote kwa wananchi wala uchumi wa nchi hii. Tukabaki tinadqnganywa tu eti nchi imeingia uchumi wa kati wakati economic indicators zote zinaonesha ndo kwanza unazidi kuporomoka
 
So ni bora aliyesema kifo ni kifo tu?
 
🤣🤣🤣🤣
Ila niseme ukweli tu hakuna watu warahisi kuwatawala kama hawa chadema........tunga stories zako kuhusu Samia au kikwete Kisha zirushe; nakuapia utakula tone tone Hadi uzimie.
Kila kingoma wamooooo mara OKTOBAAA hii hapa😁
 
Sugu yupo sahihi sasa ww unataka kukariri maisha huwezi kukariri kama darasa la kwanza hebu kua basi
 
Kama mmeweza kumsamehe Polepole na Slaa basi hata Nape siku akiumizwa na CCM akaanza kuisema vibaya mtamsamehe tu.
Hata Bashite mtamsamehe tu provided aanze kumnanga Mama Abduli. Siasa zenu mnachokitaka mnakijua wenyewe huko CDM
 
Mkuu kwa sasa ni lazima tuungane na kila mtu anae dai Reforms za tume ya Uchaguzi.

Vita vyetu vitaendelea baada ya Hili kukamilika, Otherwise Hatuta fika popote.
Hivi mmemfikia hatua ya kumwamini Slowslow eti anataka Reforms!?
 
Kwa hiyo wewe unatakaje? Kumsamehe mtu mkasonga mbele pamoja ni kosa? Hiyo ni mbinu unaitumia na hao wanaokutuma ili kuhakikisha Gwajima na Pole pole hawapati support kutoka CHADEMA na kwingine.

Mmeshachelewa, ndio kwanza gari liko kwenye mteremko na speed 200.
 
Aliyemuu ben saa nane ni Makonda, Mwigulu na mambo Sasa acha kuadanganya watu

Ni sawa sawa na kusema makala anahusika na utekaji? Kwani yeye ni serikali?

Tukio lolote linapotokea na serikali ikashindwa kuchukua hatua maana yake yenyewe ndio suspect no 1

Polepole ana mapungufu lakini hakuwa na effect yeyote kwenye serikali ya Magufuli

Hata wizi wa kura mwaka 2020 ulifanywa na police na TISS!!
 
Alipolalia Sugu ndio alipo Mbowe.

Ndani ya mitaa ya Benghazi - Libya.
 
ninyi hamjaelewa kinachoendelea tulieni. Mungu Yuko kazini. Wahuni wasambaratishwe kwa silaha yeyote. Humphrey Polepole ni mmoja ya watu wachache wanaolifaa sana taifa kwa sasa. Amesema Taifa kwanza ccm baadaye(jambo hili ni kubwa)
Amelaaniwa amtegemeaye Polepole kujenga chama chake cha siasa
(JF: 2025: 08-21)
 
Polepple mwaka 2020 Kachukua sana rushwa kwa wagombea kwa ahadi ya kuwapa ubunge
 
Buku 7 takoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…