Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Huwa nawashangaa sana CHADEMA mnapokuwa mnazungumzia siasa na kujikita kwenye ukabila. Wasukuma nikiwemo mimi ni watu tuliolelewa katika kutokuabudu ukabila. Lowassa alikuwa na wafuasi wengi sana kanda ya ziwa na mapokezi yake yalikuwa makubwa na haya yamejirudia. Nasema kwa mara nyingine kuwa wasukuma Mungu alitupendelea kutokutanguliza ukabila na ndio sababu tunaishi na makabila yote kama ndugu na hatubagui maduka ya makabila mengine kama mlivyo nyinyi wa NORTH
 
Dalili moja wapo ya upumbavu ni kufunga macho kisha uamini mbele yako kuna giza ilihali ni mchana kweupe. ccm wanajipa moyo kwamba picha ni za zamani ilihali wanajua ni UONGO. Wamejikuta wametawanyika hoja za TL zimekua nzito sio mwenezi pekee aliyeshindwa kuzipagua ila hata Anko zinamsumbua na vile anaongozwa na jazba.
 
Acha kuvuta Bangi kisha kucheka kishamba shamba kama upo kijijini kolomije Tambua kuwa watanzania siyo wajinga wanajua propaganda za CCM zinapita sasa
Ukweli huuma siku zote , bi kidude ndio anachekaje yeye ? Magufuli hoyee miaka5 tena , gwajima njia nyeupeeee
 
#Magufuli 5 tena👊
 
mkuu mimi natokea Kyela
 
Magu hajazaliwa mkoa wa Geita kule alienda baada ya mama yake kuolewapo

Nina maana kuwa hata jina la Joseph sio jina la baba yake halisi
 
Urais
 
Kwa mujibu wa wataalam wa magonjwa ya akili , mtu yeyote anayedhani ana akili kuliko wote huyo ni kichaa , yaani wewe Maghembe wa milimani ndio unajua sana mambo kuliko kamati kuu ya chadema !

Sijakuelewa! Maana kuna nyuzi nyingi nimesoma humu kuwa mgombea fulani ana akili nyingi sana.
 
Magu hajazaliwa mkoa wa Geita kule alienda baada ya mama yake kuolewapo

Nina maana kuwa hata jina la Joseph sio jina la baba yake halisi
Mkuu unaweza kufunguka zaidi kwenye hili ?
 
Hizi ni picha za 1620 by JPM
Duh, hiyo namba sijui nimeosoma kwa kugeuza? Au ulimaanisha 1920 yaani miaka 2 kabla ya Nyerere kuzaliwa?
Huyu Lissu huyu kweli wa miujiza sana, picha zake za zamani wanatambia Leo?
 
Safi mtabiri
 
Tume watapika matokeo kujikosha kwa mkuu,takwimu zitatolewa ambao sio sahihi ,kukiwa na tume huru ccm wanashindwa mapema sana cz maisha halisi ya mtz nw ni magumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…